Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

kejeri ni nini?
sasa kama unatoboa unatafuta manager wa nini?
hasira za Umasikini wako usikufanye uje uwavae watu ambao hatuhusiki.. ndio nimetoa and nimekuzidi kila kitu kuanzia elimu hadi maisha...... Diamond,davido na wasanii wote wakubwa wanajiweza ila wanahitaji muongozo wa management...... # ukijiona una IQ ndogo usijihushe na matopiki makubwa kama haya unaaibisha ukoo wako#
 
kejeri ni nini?
sasa kama unatoboa unatafuta manager wa nini?
Shemasi mjuaji sana! Hata meneja sidhani kama watawezana! Anajifanya anajua kila kitu! Develolopment..
Sisi tunamkumbusha tu makosa madogo madogo Tena kwenye Book Cover ni Bora typing errors zionekane ndani ya kitabu..
Au ndo Ile "Don't Judge A book By Its Cover"🤣
 
Sasa Paroko amekupitisha kama kilivyo Deacon zaidi ya 6 wamekupitia na kimepita mimi nakwambia hakuna typing error ila ww unasema zipo sasa ndugu manager unabishana na mwandishi?
 
Sasa Paroko amekupitisha kama kilivyo Deacon zaidi ya 6 wamekupitia na kimepita mimi nakwambia hakuna typing error ila ww unasema zipo sasa ndugu manager unabishana na mwandishi?
Kwani paroko ndo wako perfect? Au kikipitiwa na hao deacons ndo kinakuwa kitakatifu? Hata huo mfano wa youth iliyokosewa, upo sehemu moja, ambayo nayo walikosea. Kuna mmoja alitaka kukusitiri kwenye fasihi, lakini umejiumbua kwa mambo mawili. La kwanza, kusema kwamba hayo maneno yanatumika hasa huko EU kunaondoa dhana kwamba uliyakosea kwa makusudi. La pili, kwa aina ya vitabu unavyoviandika, kukosea neno kwenye cover hakumaanishi ubobevu. Labda kama soko la vitabu vyako ni nduguzo na rafikizo. Anyway, they're your books, and so your ..amn business
 
Kunywa maji mkuu then relax ushaanza kuandika ujinga mambo ya utakatifu yana husiana nini hapa? .... mimi ndio mwandishi naakili timamu. ninacho sema HAKUNA TYPING ERROR mbona una lazimisha mambo kwamba kila kitu una kijua? Au unajua ndani kimeandikwa nini? Punguza ujuaji sio kila kitu unakijua vingine kubali hauvijui boss🙏
 
soma sana mkuu bado hujajua kila kitu
 
Any ways Mimi nimejiongeza nikakuelewa shemasi lakini haujaweka bei🤣🤣
Kitabu kimoja unakiuzaje sasa hasa hiko cha empowerment echoes
 
Wewe ni kilaza
Acha kulazimisha vitu
 
Nafikiri Unatafuta kichaka cha kujificha.Typing error sio tatizo la mwandishi ni tatizo la mchapaji.Ndio maana kuna watu wanaitwa proof readers ambao hulipa kwa idadi ya makosa ya kisarufi n.k. ambayo awatayakuta kwenye andiko lako.

Katika Case ya Shemasi amezingua.Kuleta mockup ambazo zina makosa.Kma hizo typo zilizopo hapo ni intentional basi hii kazi sitaisoma.Cha Pili Ameandika Vitabu vingi sana.Hiyo ni dalili kwamba bdo anajifunza uandishi.So Kwa makosa tuliyoona tunamsamehe.

Swali JE Tunamsaidieje.Anataka Meneja wa Namna Gani?

Mwisho Shemasi Upadirisho wako ni Lini?Jimbo/Shirika Gani?
 
wewe shemasi umenizidi kitu gani? labda kusoma Biblia na mimi nimekuzidi kusoma Quran.

Wewe kaa kanisani utumikie na kurusha chetezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…