Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Mpige pigo zito zaidi ukimpiga pigo jepesi siku akija kushtuka tambua utamalizwa mazimaSinywi pombe,sio mtu wa shughuli yani kifupi sina mambo mengi,wacha hii iwe hobby yangu mpya,nimejipanga na kazi zangu zinaendelea kama kawaida hakuna umaskini wala nini..!
Mafanikio yapo pale pale na mambo mengine yataendelea mpaka kieleweke
Mwacheni dada afanye utalii wa ndani ktk hii sekta... hii sekta kama imesahaulika au ina faraga sana au kuna jambo...
nina imani ataleta mrejesho, na kwakuwa namba za waganga, masheikh na mapadre mmempa hivyo mrejesho utakuwa mzuri sana
Lengo sio kupigwa shipa bali kupata hela.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siweziiii niamini,mapenzi ni mambo ya hisia zaidi sasa kama nimeachwa nilazimishe kwa kuroga si kila siku ntakua roho juu,aku hio sector siwezi kabisa
Mpige pigo zito zaidi ukimpiga pigo jepesi siku akija kushtuka tambua utamalizwa mazima
Sikujibu wewe bali nazuwia usiambukize upuuzi wako na kwa wengine,endelea tu kutafuta waganga ila tambua kua ndio imetoka hiyo.Bado unabishana na mtu mwenye IQ ndogo[emoji23][emoji23][emoji23]wenye IQ kubwa ni wanaopita kimya kimya,you stoop so low kujibishana na mimi mwenye IQ ndogo
Huna point una ruka ruka ka popcorn Mara IQ mara tabia hebu endelea nataka ujibu mpaka siku ukiona umemaliza ntakuwa hapa kukujibu,huwa sikimbii uzi nilioanzisha mimi mwenyewe,we ulisikia wapiii!
...hakunaga huduma ya busha kwa mlengwa wa kike.Usiniharibie uzi sio mambo ya mapenzi bwashee
Hili ni jambo jingine Mbona unaweka meme kama vile nateseka na mapenzi weuwee [emoji3][emoji3]
Mlengwa wangu ni wa kike
Unajipitisha na kicheko mixer kubinua tackle😅😅[emoji23][emoji23]
Wahenga wakisemaHuu ni mwezi wa tatu dhamira yangu ipo pale pale,huwa sikurupuki ndio maana bado nafanya utafiti wa mtu wa uhakika,wawili hata watatu ili nikishaanza kazi ni kazi tu
Sina hasira nina nia na dhumuni huwezi kunibadilisha hapo
Sasa kama una msaada weka hapa
Sikujibu wewe bali nazuwia usiambukize upuuzi wako na kwa wengine,endelea tu kutafuta waganga ila tambua kua ndio imetoka hiyo.
Wahenga wakisema
"Ukiwa na hasira Sana kabla hujajibu au kusema kitu, hesabu mpaka kumi Kisha chukua maji kwenye glasi unywe' by the time unamaliza kunywa maji, sanity itakua imerudi kichwani.
Now if you have waited three months, give them another month, ukiona bado nibeep.
Otherwise sioni sababu ya wewe kuchuma dhambi ilhali maisha haya yanaweza kukatika hata jioni ya leo.
kama uko mwanza nitafute tukamuone sheh abbas.
jamaa hata ukimpa elfu 50 tu hana noma.
Gharama za kununua vifaa juu yako
Huyo hamnazo hawezi kukuelewa,much know wakati ni empty set tu huyo.Wahenga wakisema
"Ukiwa na hasira Sana kabla hujajibu au kusema kitu, hesabu mpaka kumi Kisha chukua maji kwenye glasi unywe' by the time unamaliza kunywa maji, sanity itakua imerudi kichwani.
Now if you have waited three months, give them another month, ukiona bado nibeep.
Otherwise sioni sababu ya wewe kuchuma dhambi ilhali maisha haya yanaweza kukatika hata jioni ya leo.
Hakuna cha maana ulichokipata hapa zaidi ya kugeuka na kua kituko cha JF.Endelea kuzuia ni sawa na kudeki bahari,uzi ndio Kwanza unatembea.....
Yani unanionea gere matatizo yangu au nini hueleweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unateseka ukiwa pande zipi
Boya wewe huwezi kunizuia mimi,unajimwambafiy ila kwa kujibaraguza tu kwa aibu maana umeshushuka mbele ya watu mpaka basi hapo unanyatia kujibu kwa aibu....mi ntakujibu mpaka umalize maneno yoteeeeeee
Next
Sijalazimisha wala kukupangia.Mpaka twende wote?nikienda mwenyewe kazi haifanyiki boss?
Wewe ni mwanaume ama mwanamke unatuhaibisha sisi wanaume wenzio unabishana na mbususu kweli?Hakuna cha maana ulichokipata hapa zaidi ya kugeuka na kua kituko cha JF.
Sijalazimisha wala kukupangia.
ukitaka kwenda mwenyewe ni juu yako.
njoo mwanza au nenda Geita ni wewe tu
Hakuna cha maana ulichokipata hapa zaidi ya kugeuka na kua kituko cha JF.
Huyo hamnazo hawezi kukuelewa,much know wakati ni empty set tu huyo.