Natafuta mganga wa kienyeji konki

Mkuu! Na wewe hauko mbali kwenye connection za namna hii??
 
Sasa mtoa mada awa waganga wote ulio pewa utaanza na yupi?
Lkn ukiwez tumia akili/fikra kudeal na binadamu for future inakuwa poa..
Ukiaanza kwend kwa waganga utawaumiz watoto wako/kizazi chako kitaaribik maana ukiende kwa mganga umashaingia kweny agano lingin so ata watoto wako watafuatw so be careful
 
Kwahiyo mwanangu wewe una gang la uhalifu na unajisifia kabisa lipo kikazi ipo siku yenu, kuna jamaa mmoja yule jamaa ni mzambia ni ana sura ya kikatili alikamatwa mwanza polisi walimhisi wakamkamata aliambiwa afungue simu yake alipoifungua polisi walikuta jamaa kafanya mauaji mengi sana maiti 20 na kutuma feedback kwa waliomtuma, siku ya mwizi 40 ipo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…