Natafuta mganga wa kienyeji konki

Njoo PM
 
Kuna kisa kimoja cha ndugu yangu kinzsikitisha sana, binadamu ni wabaya sana. Yaani yanayotokea kwake na familia Mungu ndie anajua.

Simulia hapa ndugu uzi unafatiliwa kimya kimya kila mtu anachukua lake la kujifunza
 
Kuna Mwanangu mmoja,alidhulumiwa na rafiki ake baada ya kudhulumiwa huyo rafiki ake akamfanyia mbaya nyingine ya maisha,jamaa akapambana akatatua matatizo yote aliyosababishiwa na huyo rafiki ake aliemdhulumu.

[emoji28][emoji28][emoji28]nimecheka huko mwanzoni paka kupakwa super black...
Sijui tunatofautiana mbona njia ya kutumia wasio julikana ndio ngumu zaidi

Siwezi kutumia njia hio sababu lolote likimtokea inaweza kuunganishwa na mimi ugomvi bado mbichi
Hio njia naweza kuitumia badae huko baada ya mambo kupoa

Nikiwa tayari nitakufata kuhusu hili
Ila naanza kwa mganga
 
Nipo hapa mganga toka pemba, baba ni mtu wa kigoma(mganga), mama ni wa tanga nae pia mganga.
Nishapiga kazi sumbawanga, mtwara NGENDE huko, msumbiji mpaka kongo, naweza badilisha mtu akawa kenge maji, tajiri nikampenyesha kwenye tundu ya sindano, kuhamisha mimba kwa mwanaume aliyekataa mimba ndio michezo yangu, mimi ndio nilimpa dawa dogo janja akamuoa uwoya.. Oyaa mi mtu mbad
Nitakufanyia kazi yako free ukifanikiwa utaleta sadaka yoyote tu.
Karibu saana
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah swahiba cv yako imenona
 
[emoji23][emoji23][emoji23]lol
 
Hebu niambie vita yako unataka iwe na Matokeo gani.

Kutoa funzo ama Kuteketeza kabisa?

Kisha nitajua nikusaidieje.
Hili swali niliwahi kuulizwa na Mr. TANU! Unataka tumpoteze kabisa au kumtesa tu?😁😁😁
 
Ni kosa kubwa kucheka mganga akitoa comment yake.. Mizimu itakumemena.
Inabidi nami nijichekeshe ili usamehewe [emoji23][emoji1787][emoji23]
He he he...
Hebu msaidie kwanza Maya
Mimi hiyo mizimu na hainipati[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…