MUME MASKINI
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 204
- 282
Mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilidhulumiwa gari toyota Allex na mtu niliyemuamini sana. Ila acha Mungu aitwe MunguJusi nilivyozulumiwa pesa zangu nillikukumbuka Sana had nikakutumia pm naona imefungwa mnk hasira nilikuwa nayo siyo mchezo mtu kaniibia mm them kanibadioishia kesi hvhhv
Njoo PMPoleni na majukumu ya kila siku
Nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha
Moja kwa moja kwenye mada,nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo
Hii dunia ina mengi,na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha,nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza, ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana
Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu
Kuna kisa kimoja cha ndugu yangu kinzsikitisha sana, binadamu ni wabaya sana. Yaani yanayotokea kwake na familia Mungu ndie anajua.
Njoo PM
0658683876 Mimi simo msaada ndo huo
Kuna Mwanangu mmoja,alidhulumiwa na rafiki ake baada ya kudhulumiwa huyo rafiki ake akamfanyia mbaya nyingine ya maisha,jamaa akapambana akatatua matatizo yote aliyosababishiwa na huyo rafiki ake aliemdhulumu.
Nipo hapa mganga toka pemba, baba ni mtu wa kigoma(mganga), mama ni wa tanga nae pia mganga.
Nishapiga kazi sumbawanga, mtwara NGENDE huko, msumbiji mpaka kongo, naweza badilisha mtu akawa kenge maji, tajiri nikampenyesha kwenye tundu ya sindano, kuhamisha mimba kwa mwanaume aliyekataa mimba ndio michezo yangu, mimi ndio nilimpa dawa dogo janja akamuoa uwoya.. Oyaa mi mtu mbad
Nitakufanyia kazi yako free ukifanikiwa utaleta sadaka yoyote tu.
Karibu saana
😂 😂 😂, hapa hatoki mtu. 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah swahiba cv yako imenona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishapata connections tatu! Jiandae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]lolNipo hapa mganga toka pemba, baba ni mtu wa kigoma(mganga), mama ni wa tanga nae pia mganga.
Nishapiga kazi sumbawanga, mtwara NGENDE huko, msumbiji mpaka kongo, naweza badilisha mtu akawa kenge maji, tajiri nikampenyesha kwenye tundu ya sindano, kuhamisha mimba kwa mwanaume aliyekataa mimba ndio michezo yangu, mimi ndio nilimpa dawa dogo janja akamuoa uwoya.. Oyaa mi mtu mbad
Nitakufanyia kazi yako free ukifanikiwa utaleta sadaka yoyote tu.
Karibu saana
[emoji23][emoji23][emoji23]Huko Ngende ni balaa blue. Nilikua lindi last week, wenyeji wanasema huko Ngende ni mara moja mtu kupotezwa
Ni kosa kubwa kucheka mganga akitoa comment yake.. Mizimu itakumemena.[emoji23][emoji23][emoji23]lol
Mshana atamsaidiaHahahaha"" wanakuzingua sio mcheki mshana ndio anajua hayo machanel hahaha
Mmmh, kweli mkuu umechafukwa! Una kifua lakini cha kukabili mambo? Mambo ni mazitoooo!Mshana nishamsoma ana huruma sihitaji huruma hapa nahitaji kazi ikamilike sio lisala za kumuachia Mungu sitaki hizo
Hili swali niliwahi kuulizwa na Mr. TANU! Unataka tumpoteze kabisa au kumtesa tu?😁😁😁Hebu niambie vita yako unataka iwe na Matokeo gani.
Kutoa funzo ama Kuteketeza kabisa?
Kisha nitajua nikusaidieje.
He he he...Ni kosa kubwa kucheka mganga akitoa comment yake.. Mizimu itakumemena.
Inabidi nami nijichekeshe ili usamehewe [emoji23][emoji1787][emoji23]