Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Wanawake wanaliwa kimasihara sana, kuna kisa Cha mganga yeye alikua anasema anawatibu wanawake wasioshika mimba, wakienda sharti ni moja tu anapaka dawa kwenye kichwa Cha ndonga ndo anamuingizia mwanamkeHio zawadi hao waganga wote watakuwa wamekutunzia wewe, wanakuogopa? Hujasoma hapo juu huyo mke wa mtu aliyelala kwa mganga siku tatu ili simu yake ipatikane? Siku tatu!!!! Na usiku wanaamshana kupiga stori!!! Na anasimulia kwa furaha!!!!
Au umesahau kisa cha mwaka Jana mganga kakutwa na zaidi ya chupi 50 za wake za watu wateja wake, akiipaka dawa yule mwanamke anajipeleka mwenyewe anamzini, ni rotation tu inaendelea.
Au wale waliotangazwa ITV wiki iliyopita, familia iliyopeleka watoto wao 3 wakiume wakazindikwe, dawa inatolewa usiku, wote wakalawitiwa!!! Eti nao wamekasirika wanatoa taarifa polisi !!!!
Wao wanaona wanawekewa dawa kumbe ndo wameshaliwa tayari wakienda wasiposhika mimba wakirud kwa mganga anawaambia ulikosea masharti ngoja turudie kupaka dawa anaibararua tena, maza mmoja alivyoona analiwa sana akaamsha noma kashasuguliwa Zaid ya mara 5 ndo akashtuka anatoa kiburudisho kwa msela kumbe hapakwi dawa wala nini