Natafuta mganga wa kienyeji konki

mganga - witch doctor

Sawa.
Kuna maradhi mengine hayatibiki Hospitali, ila wao wanaweza hasa maradhi ya Viini macho.

Kuna mgonjwa anakuwa anaumwa ile serious kabisa, lakini kila kipimo atapimwa na ugonjwa hautaonekana.

Baadhi ya Madaktari ikifika stage hii atawaita ndugu wa Mgonjwa atawaambia Ugonjwa huu sio wa Hospitalini, kwahiyo ndugu mtatikiwa kujiongeza either muende Mkakanyage Mafuta au Muende huko kwingine
 
Sawa semaji la waganga.

Naomba namba basi
 
Nipe namba y mganga wako tafadhali
 
Ya limbwata kali sana
Nikishaletewa huo mshahara mie nitajiongeza kujenga masion langu 🀭
Nitakutumia hiyo namba ila tafadhari huyo unayetaka kumwekea Limbwata asiwe Mwanangu tu, manake first born wangu yupo hapo Mjini na Mimi Baba yake bado namtegemea kwa mia mbili mbili anazonitumiaga πŸ€ͺπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…