Natafuta mganga wa kienyeji konki

Ana mwili wa wastani, sio mwembamba sana wala Mnene πŸ€ͺ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo sikushauri,, ukimtupia hapo yatakurudia nakwambia.
Watu wa dizain hizo wanakuwaga wameaga makwao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo sikushauri,, ukimtupia hapo yatakurudia nakwambia.
Watu wa dizain hizo wanakuwaga wameaga makwao
Umefanya nicheke kwa sauti, kumbe watu wa hivyo wanakuwaga wameaga kwao.

Ngoja nione, mwezi ujao nataka nimtumie hela kumvuta, akija tu namfungia ndani siku mbili baadaye mtanisoma nami nimekuwa Bilionea πŸ€—
 
Yericko Nyerere ,yeye ni mkuu wa wachawi og.
 
Umejuaje kama kana nyota ya ela nipe maujuz NAMI nione namuelezaje huyo mganga ukinipa nambaπŸ˜‚
Kwanza nilimuuliza Majina yake halisi na Mwezi aliozaliwa. Alipotaka kunidanganya nikapiga simu kule wanaposajiri Vizazi nikajua alizaliwa wapi na lini.

Then biashara ikawa imeisha πŸ€ͺ
 
Kwanza nilimuuliza Majina yake halisi na Mwezi aliozaliwa. Alipotaka kunidanganya nikapiga simu kule wanaposajiri Vizazi nikajua alizaliwa wapi na lini.

Then biashara ikawa imeisha πŸ€ͺ
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
YESU ndio jibu kaka hakuna shortcut leta jina lako inbox tukuweke kwenye maombi
 
Sio Waganga wote waliopo dsm ni matapeli, Mwaka 2014 nilipopata tatizo kubwa kabisa lililohatarisha ustawi wangu binafsi na familia yangu, aliyenitibu alikuwa Mganga wa hapo hapo DSM, bahati mbaya sina mawasiliano yake kwasasa.
Dah..ila watuπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…