Natafuta mganga wa kienyeji konki

Naogopa TU shirki ila ningekuelekeza Chanika somewhere hivi
 
Kaka pambania matatizo yako humu mtandaoni wanajifanya wote Walokole na Wanaimani sana za kidini kumbe ni uongo mtupu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisaa yaani jf wote Wacha Mungu kumbe mfyuuuuu
 
Tatizo lako inawezekana ni dogo japo waliona ni kubwa.

Ninachoweza kukushauri ni hiki, watafute hao wataalamu nenda wakutibu ikishindikana kabisa nitafute nitakusaidia.

Narudia! Hilo ni tatizo dogo.
 
Taja tatizo mzee
 
Tatizo lako inawezekana ni dogo japo waliona ni kubwa.

Ninachoweza kukushauri ni hiki, watafute hao wataalamu nenda wakutibu ikishindikana kabisa nitafute nitakusaidia.

Narudia! Hilo ni tatizo dogo.
Mtu mpk kaja huku ina maana kahangaika sana alaf unamwambia akatafute tena,km unaweza msaidie.huo ndio uungwana ndugu
 
Tumia chumvi ya mawe oga mara tatu ukiwa umeangalia mashariki.
Ukimaliza weka chumvi kwenye paji la uso...usigeuke nyuma hadi ufike mbinguni sasa utamweleza Mungu shida zake naye atakutatulia.
 
KUNA MZEE mmoja ila galama zake ndo kubwa ila huwa anafanya kazi bila maipo yoyote na tatizo lako likiisha ndo umlipe yy kauli nmbiu yake anasemaga kuwa ''PESA YA DAWA HAIDHULUMIWI. Sasa jichanganye usilipe na huwa anasema mda ukifika dawa zitakukumbusha kuwa tayari na tatzo lako limeisha ila usipolipa hanaga msamaha yule mzee keshamaliza matapeli wengi sana wanaojifanya bkudhurum kazi zale ila huyu ni uhakiika hata ukitaka kwenda mbingu ya akina zumaridi na geodavii anakupa nauli unaenda na kurudi
 
Utaliwa...rejea kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…