Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa yaani jf wote Wacha Mungu kumbe mfyuuuuuKaka pambania matatizo yako humu mtandaoni wanajifanya wote Walokole na Wanaimani sana za kidini kumbe ni uongo mtupu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu.
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu.Chumvi ya mawe mkuu
matumizi yake yanakuwaje chief?Kama ni issue za nuksi ogea chumvi ya mawe na mdalasini.. Huku ukinuiza mambo yako... Kama ni nuksi siku saba tu za kuoga utaona mabadiliko makubwa
🤝N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu.
Mwambie anitumie namba pm atakuja kukushukuru.Aisee
Mungu awashike mkono wana kipi mioyoni mwao? Wacha wajiongoze kwa kadri wanavyoona 😂😂😂Ila watu mna mahangaiko...Mungu awashike mikono msianguke
Taja tatizo mzeeWakuu mambo vp?
Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!
Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Mtu mpk kaja huku ina maana kahangaika sana alaf unamwambia akatafute tena,km unaweza msaidie.huo ndio uungwana nduguTatizo lako inawezekana ni dogo japo waliona ni kubwa.
Ninachoweza kukushauri ni hiki, watafute hao wataalamu nenda wakutibu ikishindikana kabisa nitafute nitakusaidia.
Narudia! Hilo ni tatizo dogo.
Naona kama bado ana masikhara.Mtu mpk kaja huku ina maana kahangaika sana alaf unamwambia akatafute tena,km unaweza msaidie.huo ndio uungwana ndugu
Mwambie aje kwenye pm yangu mara ya tatu naagiza.Mtu mpk kaja huku ina maana kahangaika sana alaf unamwambia akatafute tena,km unaweza msaidie.huo ndio uungwana ndugu
Utaliwa...rejea kwa MunguWakuu mambo vp?