Natafuta mganga wa kienyeji konki

Huyu wa kolero ni yule bwanamdogo mmoja ivi jina lake linaanzia na S...ana hatar yule nae
 
Naombeni msaada kuelekezwa NDENDE

Mtoto wadada yangu anasumbuliwa sana (hospitalini tatizo halionekani) tumehangaika kwa waganga nako bado

Nimeskia huko Ndende Kusini wako vizuri waganga wahuko so naomba mwenye kupajua huko vizuri aniekeze plz naomba msaada wako
 
Ni hapo Lindi-wilaya ya LIWALE,
ufikapo Liwale mjini Panda magari ya kuelekea kijiji kinaitwa Ngongowele toka hapo waweza chukua boda tu masaa kadhaa
 
 
Elezea kwanza anasumbuliwa na nini?

Wagonjwa wengi wamekufa kwa uwezo Mdogo wa hospital zetu kugunduwa tatizo la mgonjwa.

Jitahidi kufanya kipimo cha MRI ndio kipimo cha juu kwa Bongo kutafuta tatizo la mgonjwa.

Halafu huko ngende kuna sofa ya uchawi na siyo Tiba.

Sifa ya Tiba IPO Lushoto Tanga huko ndio kuna waganga wa kutibu magonjwa na siyo mambo ya kuroga.
 
Tatizo lake kubwa ni tumbo yan mara tumbo linajaa kama linataka kupasuka mara linapungua
 
Habari zenu wana JF.

Nina shida, mama yangu amechanganyikiwa gafla, anasikia sauti na kuongea na watu ambao hatuwaoni, tumeshahangaika kila mahali, hospitali na makanisani bila mafanikio.

Naomba mwenye connection ya mganga wa kweli kabisaa na sio mbabaishaji anisaidie. Yani nguli haswa.
 
Nenda kwa Mwamposa, utakutana na Mtendaji miujiza Yesu.
 
Hajachanganyikiwa huyo ni mizimu ya uganga inamtaka afanye kazi zake

Akatambikie kwenye makaburi ya Babu yake mkuu na bibi yake mkuu
 
Hata mtoto wa mdgo wangu alikuwa na hilo tatzo hadi tulipokutana na mtaalam wa TANGA. Ndan ya sku 2 mtoto alikuwa vizur. Hiyo ilikuw mwaka 2021 hadi leo yuko poah Strong25
 
Ulikuwa unamletea mumeo madharau au? Mpaka kachepuka na kukukimbia!! Ebu tufafanulie ili tukusaidie
 
0689120019
 
0689120019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…