Niliwahi kuwa mhanga wa kutafuta wa ganga kama ulivyo wewe ,nilifanikiwa ila nilipoteza pesa nyingi. Kawaida uganga ni fani pana sana,wapo waganga wabobezi wa kitu kimoja na wengine wanatibu mambo mengi kwa pamoja ,Ila kundi hili ndio na waganga wa mchongo wako wengi sana.
Dada yangu alipatwa na ugonjwa wa macho ghafla akawa kipofu tuliangahika sana mahospitalini bila mafanikio, mpka Dr mmoja mtaalam wa macho ndio alitupa ushauri huo wa kusaka waganga wa kienyeji ,hapo ndio kazi ilianza.Ilitugharimu kamilioni kwa waganga makanjanja kabla kumpata mganga sahihi wa tatizo letu,hakika waganga wapo .tulienda morogoro vijijini sehemu inaitwa kolelo mpaka kufika huko tulitumia Sikh nzima,dar Moro na Moro kolelo mpaka tunafika kwa mganga tukifika SAA kumi jioni.
Na tiba ilianza nusu SAA baada ya kufika tulieleza masahibu yote na kuttangatanga koote mpaka kumpata mganga mkarimu ndio akatusaidia kukupata. Jamaa akatupa lisaa limoja mgonjwa ataona tena,wakati huo mgonjwa ana miezi mi4 haoni Ila ilikua hajabu mpaka SAA mbili usiku wa Sikh hiohio mgonjwa aliweza kuona tena japo kwa tabu na kizunguzungu kika mkumba ila kesho yake FIBA ziliendelea mpaka jioni ya Siku ya pili alionavizuri kabisa kwa ukamilifu na SAA moja usiku tulianza safari kurudi Moro town kesho kutwa yake tukawa home mapema .
Had I naandika hapa sister yupo fiti .nimeeleza machache ili upate mwangaza wa waganga wakienyeji jinsi walivyo gawanyika,matapeli wapo mjini .