Natafuta mganga wa kienyeji konki

Nataka nikuloge tufunge ndoa pamoja na uzee wako I don't care
 
weka picha
 
Hiiidunia ni zaid ya uijuavyo. Huwez kuniPM kwa message za kitot





Ok
mkuu ulinipa namba ya mganga yuko Tanga lakini kila siku anafos nimpe hela ya vifaa sijui na madudu gani.

kila nikimwambia niko busy subiri haelewi ananipangia mpaka mda wa kufanya shughuli zangu.

Kusema kweli nahisi mnafahamiana na huyu mtu, na mnafanya kazi pamoja
 
Umevurugwa
 
Mkuu ndo huyu huyu jamaa mimi alinipa namba pia PM nikampigia ananiambia sio lazima niende tanga anaweza kufanya mambo huku huku nilipo kama nitatuma elfu 50 ya vifaa nikamwambia poa, nikamuuliza ni vifaa gani unahitaji? akawa anazuga kama hajanisikia anachange mada nimamuuliza tena ni vifaa gani unahitaji? akakata simu baada ya dakika 2 akanitumia sms ya vifaa sijui usinga na madudu mengi tuu kaandika akakaa kidogo then akapiga akauliza kama sms nimeiona nikamwambia ndio (nilichohisi lile swali la kuulizia vifaa gani lilimchanganya akawa hajui anijibu nini ndo akakata ili apate mda wa kuwauliza watu) akaniuliza hela unatuma lini sasa ili usiku nianze kazi nikamwambia jioni asee alikua anapiga simu za kuulizia hela natuma lini mpka basi nikasema kweli mganga ananjaa ila baadae nilimchana kua wewe ni tapeli tafuta kazi ya kufanya hajawahi kunitafuta tena.
 
Mganga
 
Waungwana kama hili jambo hujalipenda naomba upite usiongee chochote naongea na wenye hasira na maisha wapambanaji watu waliofanikiwa kupitia uchawi bila kutoa MTU hivo vitu vipo

Naanza kwa kusema Nishajalibu kila njia ya kupata pesa nimekwama biashara nimefanya kazi za kuajiliwa ndo usiseme lakin sioni mwanga wowote

Nshatafuta waganga lakini nimeishia kutapeliwa ombi langu kwenu yoyote anaemjua mganga mzuri mtaalamu wa mali tafadhali naomba aje inbox nipo serious

Nipo dar es salaam
 
Sawa
Suluhisho Umelipata Njoo Na Sadaka Yako Iliyonona Tuombe Pamoja
Na Kwa Uwezo Wa Mungu. Magumu Yako Yatakuwa Historia
Nitakuvika Nira Laini Na Mzigo Mwepesi Sana





Amen , Amen Man Of God
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…