Natafuta mganga wa kienyeji konki

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Alikuwa akichoka kutembea anaomba damu ya paka aigide kimtindo.
Alikuwa mpigaji tu. Hapa kuna michezo wana fanyiana uhuni
Your browser is not able to display this video.
 
Nimemkumbuka huyu jamaa nimeishia kucheka tu. Alitumia elimu kubwa aliyonayo ya uchawi kutapeli. Angeishia kuelimisha watu.
Nlikutana nae baht nzur nilimshtukia [emoji23]
Hii thread ya kutafuta mganga konki, angekuwepo angekula vichwa sana
 
Mkuu hapa watakudanganya waganga wapo na wengi humu wanaendaga, si wanawake wala wanaume ila siri zao.!!
Njoo nikupeleke Kigoma nguruka uko ukaoshwe utoe nuksi wateja watamiminika mpk ushangae.

Naombeni ulinzi wa comment yangu 🤣
Niandikie ujumbe PM. Kuna ishu nataka kukuuliza.
 
Mkuu kazi hii wanaijuwa vizuri wabunge, mashehe na wachuniaji. Washirikishe mbunge wako au Mchungaji na shehe aliye karibu nawę, utatoboa tu. Hawa watu ni washirikina sana.
 
Dah mganga na chupi 50 kweli mnganga kiboko. Wapi wanatoa mafunzo ya uganga niende na mie niwe nakula mbususu za wake za watu?
Alafu kumbe hii fantasy ya kubaki na chupi za mrembo uliye mgegeda tunayo wengi🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😁😁🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…