20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Alikuwa mpigaji tu. Hapa kuna michezo wana fanyiana uhuni
Alikuwa akichoka kutembea anaomba damu ya paka aigide kimtindo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mpigaji tu. Hapa kuna michezo wana fanyiana uhuni
Alikuwa akichoka kutembea anaomba damu ya paka aigide kimtindo.
Shemegi umezunguka kweri kweri, hapo utakuta umejaa chale hadi kwenye kopeBinti Tembo, huko Namtumbo
Hii thread ya kutafuta mganga konki, angekuwepo angekula vichwa sanaNimemkumbuka huyu jamaa nimeishia kucheka tu. Alitumia elimu kubwa aliyonayo ya uchawi kutapeli. Angeishia kuelimisha watu.
Nlikutana nae baht nzur nilimshtukia [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemegi umezunguka kweri kweri, hapo utakuta umejaa chale hadi kwenye kope
Sana. Advertisement ya kwanza ukionana nae, anatoa kibuyu. [emoji23]Hii thread ya kutafuta mganga konki, angekuwepo angekula vichwa sana
🤣🤣🤣🤣🤣 watu mpo deep, sasa alikusaidia au utapeli tu?? NmechekaaaaSana. Advertisement ya kwanza ukionana nae, anatoa kibuyu. [emoji23]
Ilikua janja janja tu. Ilibaki kidogo nipige teke kibuyu kile.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu mpo deep, sasa alikusaidia au utapeli tu?? Nmechekaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ilikua janja janja tu. Ilibaki kidogo nipige teke kibuyu kile.
Shemeji mi sina chale hata moja wallah..!! Nawajua kwa kusimuliwa banaa..!!Shemegi umezunguka kweri kweri, hapo utakuta umejaa chale hadi kwenye kope
Mmh kwamba we unasimuliwaga tu huna cha kusimulia 🤣🤣Shemeji mi sina chale hata moja wallah..!! Nawajua kwa kusimuliwa banaa..!!
Cha kuhusu chale banaaa...!!!Mmh kwamba we unasimuliwaga tu huna cha kusimulia 🤣🤣
Niandikie ujumbe PM. Kuna ishu nataka kukuuliza.Mkuu hapa watakudanganya waganga wapo na wengi humu wanaendaga, si wanawake wala wanaume ila siri zao.!!
Njoo nikupeleke Kigoma nguruka uko ukaoshwe utoe nuksi wateja watamiminika mpk ushangae.
Naombeni ulinzi wa comment yangu 🤣
Mkuu kazi hii wanaijuwa vizuri wabunge, mashehe na wachuniaji. Washirikishe mbunge wako au Mchungaji na shehe aliye karibu nawę, utatoboa tu. Hawa watu ni washirikina sana.Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.
Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
😁😁😁😁😁🤣🤣🤣Dah mganga na chupi 50 kweli mnganga kiboko. Wapi wanatoa mafunzo ya uganga niende na mie niwe nakula mbususu za wake za watu?
Alafu kumbe hii fantasy ya kubaki na chupi za mrembo uliye mgegeda tunayo wengi🤣🤣🤣🤣
Nadhani aliishia kutapeliwa tu..Ulipata mganga?