Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Poleni na majukumu ya kila siku
Nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha

Moja kwa moja kwenye mada,nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo

Hii dunia ina mengi,na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha,nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza, ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana
Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.

Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu
Tena ukimpata mganga mwambie amtundike miguu za kuku wa kienyeji kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jusi nilivyozulumiwa pesa zangu nillikukumbuka Sana had nikakutumia pm naona imefungwa mnk hasira nilikuwa nayo siyo mchezo mtu kaniibia mm them kanibadioishia kesi hvhhv
 
Kuna mmoja Yuko ukerewe kule ziwa Victoria yule nilimfahamu kwa kumpitia mdgo ake ambae tulikuwa tunaishi nae hapo kibo

Sasa kipindi fln yule bint aliibia pesa zake na rfk ake na walikuwa wanalala wote bas ikabidi bint ampigie kak ake kule ukerewe ili amjulishe jins pesa zilivyoibiwa bas jamaa akaomba apewe namba aongee na yule bint aliyesadikiwa kuiba bint kakana mazima kuwa hajaiba bas jamaa akasema had jioni pesa zipatikane vinginevyo kitakachompata mtu wasilaumiwe mdg ake bas bhba saa Tisa bint yule aliharisha kila kitu tumboni kwa mfuliliso had akakiri kuwa kkaiba na kusukia nywele pesa za watu

Nimemtafuta bint yule sijapa nmb zake anipe nmb za kak ake
Afu Uko kuna ule wa radi asee😄
 
Jusi nilivyozulumiwa pesa zangu nillikukumbuka Sana had nikakutumia pm naona imefungwa mnk hasira nilikuwa nayo siyo mchezo mtu kaniibia mm them kanibadioishia kesi hvhhv
 
Watu tunaombea mbuyu ulioa kilinge cha waganga na unaanguka vita waisarenda wenyewe wanahama kilinge wenyewem[emoji12], mbuyu unadondoka bila kuukata huo ni ukuu wa Mungu, Mungu sio wakumjalibu, vita ni vya bwana wewe kuingilia kati ni kwamba Mungu humuamini,

Hivi unajua mara zote watu wanaoenda kwa waganga na yale manuizi ni lazima yaje kukutesa lazima yaje kudai damu mbeleni yani linakua kama deni baada ya kukusaidia stuka achana na waganga hujachelewa
 
Watu tunaombea mbuyu ulioa kilinge cha waganga hao na unaanguka wenyewe bila kuukata huo ni ukuu wa Mungu, Mungu sio wakumjalibu, vita ni vya bwana wewe kuinhilia kati ni kwamba Mungu humuamini,

Hivi unajua mara zote watu wanaoenda kwa waganga na yale manuizi ni lazima yaje kukutesa lazima yaje kudai damu mbeleni yani linakua kama deni baada ya ewe stuka achana na waganga hujachelewa

Asante kwa mahubiri,ukishtuka wewe inatosha
Wana wa Mungu huu sio uzi wenu[emoji1431]
 
Asante kwa mahubiri,ukishtuka wewe inatosha
Wana wa Mungu huu sio uzi wenu[emoji1431]
Usipoelewa wewe wapo watakaoelewa, maana sio lazima kila atake sikia neno la Mungu na likamuingia maana shetani pia yupo kazini ila wapo litakaowaingia na kulielewa wewe pia usiyasome mahubiri pita pembeni uzi upo hapa kuchangia kuna kila aina ya watu humu, so wewe pambana
 
Rejea comment yako uliniandikia mimi na nimeshasema sitaki USHAURI
Kama ulitaka wasome wengine ungeweka iwe general comment
Uzi ni wa waganga na connections zao sipiti pembeni nipo hapa
Kuna jukwaa la dini peleka mahubiri huko tuletee link hapa watakao penda watafata huko kusoma ujumbe wako
 
Dada achana nae
 
Panda gari za njombe...shuka wangama ni kabla ya kufika njombe mjini. Utakutana na kijana anaitwa imma mtoto wa mwandulami.
Bora tu usionee mtu. Kama umeonewa atakupeleka mahali utanena yoote ambayo unataka mbaya wako ayapitie ...
Baada ya muda kweli kama umeonewa utayaona mengi sana yakiyokea.
Namba ya imma nitakupatia ukihitaji.
Ila dhambi yako nisiulizwe.
Kuna muda unaonewa hadi unatamani ufe
mimi nipo hapa njombe, hii sehem mbona mpya? nipo makumbusho ya njombe ktk kivutio kipya kabuli la hela mingi...
 
Utatoa shukrani gani ili nikuunganishe na mganga konki! Yuko Kwa Msisi Tanga! Yaani hata ukitaka kumgeuza mtu kuwa nyoka, anageuka! Ukitaka kumuweka kwenye chupa, ni dakika 0 tu.

Sharti ni kutakiwa tu kutoa hiyo shukrani isiyo na hiyana, kabla ya kuunganishwa.
sasa mbona timu yetu ya taifa haishindi ina shinda simba tu?
 
Wewe mimi ni mwanamke sio mume,kama unatafuta mume sio kwenye uzi huu
Nashangaa umekazana na comment zako za shombo unakuwa kama mwanamke vile
Nikaushie kazi ni moja tu nahitaji jambo langu litimie sio bla bla bla

Enhe nikishakubali nimekataliwa wewe ndio umchukue au nini?[emoji3]maana unatunga mpaka uongo isijekuwa mke mwenzangu sikujui
Ila dea jaman. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom