Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Wewe ni mpumbavu na tambua kua ukishaweka thd hapa jf inakua sio mali yako tena na kila member ana uhuru wa kuchangia kwa mtizamo wake,jf ni an open forums,

Unataka kupangia watu nini cha kuandika? Hivi uko sawa kweli wewe? Unataka kuroga mtu wakati wewe mwenyewe ni hamnazo?

Kubali matokea kua umekataliwa,kuroga hakuwezi kukupa faida yeyote,wewe ni masikini wa fikra.

Wewe mimi ni mwanamke sio mume,kama unatafuta mume sio kwenye uzi huu
Nashangaa umekazana na comment zako za shombo unakuwa kama mwanamke vile
Nikaushie kazi ni moja tu nahitaji jambo langu litimie sio bla bla bla

Enhe nikishakubali nimekataliwa wewe ndio umchukue au nini?[emoji3]maana unatunga mpaka uongo isijekuwa mke mwenzangu sikujui
 
Poleni na majukumu ya kila siku
Nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha

Moja kwa moja kwenye mada,nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo

Hii dunia ina mengi,na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha,nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza, ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana
Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.

Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu
Dunia imepiga hatua kubwa sana kwenye Science na teknolojia,fikra za kuroga ni fikra za Stone age hizo,toka usingizini Dunia inakuacha kwa kasi ya ajabu na mawazo yako ya kimasikini.
 
Wewe mimi ni mwanamke sio mume,kama unatafuta mume sio kwenye uzi huu
Nashangaa umekazana na comment zako za shombo unakuwa kama mwanamke vile
Nikaushie kazi ni moja tu nahitaji jambo langu litimie sio bla bla bla

Enhe nikishakubali nimekataliwa wewe ndio umchukue au nini?[emoji3]maana unatunga mpaka uongo isijekuwa mke mwenzangu sikujui
Naona dawa imeanza kukuingia,umeanza kurukaruka kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,huna utakayemroga kubali matokeo umesha wekwa kushoto,kulia lia jf hakuwezi kubadili kitu kapuku wewe.
 
Abadilishe akili na fikra zake kwanza ili ziwe sawa.

We nani bana upange nibadilike,una comment kwenye uzi wa mtu mwenye fikra tofauti na wewe unafanya nini hapa?mi nimewaita wenye fikra sawa na mimi,watu kama wewe nimeshasema piteni kulia
Hapa hakuna cha fikra wala nini mpaka jambo litimie
 
Panda gari za njombe...shuka wangama ni kabla ya kufika njombe mjini. Utakutana na kijana anaitwa imma mtoto wa mwandulami.
Bora tu usionee mtu. Kama umeonewa atakupeleka mahali utanena yoote ambayo unataka mbaya wako ayapitie ...
Baada ya muda kweli kama umeonewa utayaona mengi sana yakiyokea.
Namba ya imma nitakupatia ukihitaji.
Ila dhambi yako nisiulizwe.
Kuna muda unaonewa hadi unatamani ufe
Mkuu naomba namba ya Imma. Au nije pm?
 
We nani bana upange nibadilike,una comment kwenye uzi wa mtu mwenye fikra tofauti na wewe unafanya nini hapa?mi nimewaita wenye fikra sawa na mimi,watu kama wewe nimeshasema piteni kulia
Hapa hakuna cha fikra wala nini mpaka jambo litimie
Huna utakalolitimiza acha kujipa matumaini hewa,kubali matokeo tu,mdomo mchafu ndio maana umetupwa kushoto.
 
Naona dawa imeanza kukuingia,umeanza kurukaruka kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,huna utakayemroga kubali matokeo umesha wekwa kushoto,kulia lia jf hakuwezi kubadili kitu kapuku wewe.

Hakuna dawa yoyote inaweza kuniingia kutoka kwa mtu simjui [emoji23],usijipe umuhimu wewe,upo busy na uzi wa kapuku kama sio kapuku tambaa mbele mbona upo busy kunijibu sasa
 
Huna unalopungukiwa coz huna lolote,sasa upungukiwe nini wakati wewe ni empty?

Upo busy unabishana na mimi empty🤣🤣🤣🤣🤣wonders cheiii
Sema kingine naona nimekugusa sana mpaka umekuwa mchangiaji mkuu wa mtu empty[emoji23][emoji23][emoji23]
Au unadhani jf mimi mgeni?watu kama wewe nawamudu ukijifanya chizi mimi ni zaidi yako,tutakesha hapa huna jipya yote marudio
 
Back
Top Bottom