Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Screenshot_2022-06-21-21-49-54-878_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
mbona kila kitu kipo mtandaoni siku hizi,, check na hiyo miamba humo kwenye screenshot upate unachokitaka
 
Panda gari za njombe...shuka wangama ni kabla ya kufika njombe mjini. Utakutana na kijana anaitwa imma mtoto wa mwandulami.
Bora tu usionee mtu. Kama umeonewa atakupeleka mahali utanena yoote ambayo unataka mbaya wako ayapitie ...
Baada ya muda kweli kama umeonewa utayaona mengi sana yakiyokea.
Namba ya imma nitakupatia ukihitaji.
Ila dhambi yako nisiulizwe.
Kuna muda unaonewa hadi unatamani ufe
 
Safi sana. Dunia ya sasa haitaji watu wanyonge wa kulialia kwasababu binadamu wa sasa wamejaa dhuluma, ukatili na kila aina ya ushenzi. Fanya vile moyo wako unavyosema na usirudi nyuma.
Kuna mjinga mmoja, namsubiria ajichanganye nimshughulikie vilivyo.

Na ukijifanya mnyonge kuna watu wanakuchukulia poa
Dunia ni vita,kila mtu apambane kivyake kitaeleweka huko huko mbele ya safari
 
Hiyo namba nami nipasie
Panda gari za njombe...shuka wangama ni kabla ya kufika njombe mjini. Utakutana na kijana anaitwa imma mtoto wa mwandulami.
Bora tu usionee mtu. Kama umeonewa atakupeleka mahali utanena yoote ambayo unataka mbaya wako ayapitie ...
Baada ya muda kweli kama umeonewa utayaona mengi sana yakiyokea.
Namba ya imma nitakupatia ukihitaji.
Ila dhambi yako nisiulizwe.
Kuna muda unaonewa hadi unatamani ufe
 
Panda gari za njombe...shuka wangama ni kabla ya kufika njombe mjini. Utakutana na kijana anaitwa imma mtoto wa mwandulami.
Bora tu usionee mtu. Kama umeonewa atakupeleka mahali utanena yoote ambayo unataka mbaya wako ayapitie ...
Baada ya muda kweli kama umeonewa utayaona mengi sana yakiyokea.
Namba ya imma nitakupatia ukihitaji.
Ila dhambi yako nisiulizwe.
Kuna muda unaonewa hadi unatamani ufe

Shukrani nakuja inbox
 
Utatoa shukrani gani ili nikuunganishe na mganga konki! Yuko Kwa Msisi Tanga! Yaani hata ukitaka kumgeuza mtu kuwa nyoka, anageuka! Ukitaka kumuweka kwenye chupa, ni dakika 0 tu.

Sharti ni kutakiwa tu kutoa hiyo shukrani isiyo na hiyana, kabla ya kuunganishwa.

Endapo kazi yangu itafanyika nipo tayari kukupa shukrani yako,vipi nitangulize shukrani kabla ya kazi?
Kama unajiamini anaweza kazi niunganishe nae huwa sisahau nilipo toka lazima nikurudie
 
Unaniuliza maswali ya kiwaki ndio maana unaonekana kituko,nimeshasema sitaki mahubiri unaniletea maswali,punguza shobo pita kushoto,niandike mimi alafu nikurupuke mimi au umekurupuka wewe ambae unaleta maswali ya mahubiri hapa?
Tambua kua ukishaweka thd hapa jf inakua sio mali yako tena na kila member ana uhuru wa kuchangia kwa mtizamo wake,jf ni an open forums,

Unataka kupangia watu nini cha kuandika? Hivi uko sawa kweli wewe? Unataka kuroga mtu wakati wewe mwenyewe ni hamnazo?

Kubali matokea kua umekataliwa,kuroga hakuwezi kukupa faida yeyote,wewe ni masikini wa fikra.
 
Back
Top Bottom