Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Na pembe ya ndovu je?kiroho, pembe mara nyingi huhusishwa na nguvu, na uwezo wa kutoa umakini, kuashiria uhusiano na nguvu kuu ya asili,
View attachment 3224805
Pia mara nyingi huwakilisha Pembe ya Wokovu inayoashiria ulinzi, ushindi, na wito wa kuamsha ufahamu katika tamaduni zote duniani
Hivyo Kuinua Pembe ni mfano wa kuinuliwa na ushindi.
Mganga Yuko Sengerema Mwanza je utaweza kuja?Hello, nina 30yrs (girl) naish kwetu(nawish kutoka), natafuta kazi sipati, nina kabiashara kadogo kutwa nikifungua asubuh nakutana na kinyesi nje ya frem so biashara yenyew haitoki, sina mahusiano ya kueleweka mtu ananiacha bila sababu yan ghafla tu, inshort nothing is okay with me na nimechoka sana, anaejua mganga wa kweli naomba msaada plz ninashida na mganga, nisaidieni.
Gharama zake zikoje mkuu?Mganga Yuko Sengerema Mwanza je utaweza kuja?
Uko wapi?Hello, nina 30yrs (girl) naish kwetu(nawish kutoka), natafuta kazi sipati, nina kabiashara kadogo kutwa nikifungua asubuh nakutana na kinyesi nje ya frem so biashara yenyew haitoki, sina mahusiano ya kueleweka mtu ananiacha bila sababu yan ghafla tu, inshort nothing is okay with me na nimechoka sana, anaejua mganga wa kweli naomba msaada plz ninashida na mganga, nisaidieni.
Mganga Yuko Sengerema Mwanza je utaweza kuja?
Toa code mkuu sengerema sehemu ganiSengerema sehemu gani
Nipo DarUko wapi?
Gharama zinakuajeMganga Yuko Sengerema Mwanza je utaweza kuja?
Kusema ukweli nateseka dada naomba unisaidie kama kiubinaadamu maana yalonikuta yamemea mizizi sio ya Leo juzi Wala janaKweli hawakupi directly direction wanakupa zaidi wale walioshindwana nao kweli alipigwa sana
Kweli hawakupi directly direction wanakupa zaidi wale walioshindwana nao kweli alipigwa sana
Hujambo kaka unaweza nisaidia Mimi Nina matatizoKAMA UNAITAJI KWELI NICHEKI
HUJAMBO KAKA NAOMBA MSAADA TAFADHALI NATESEKA UZI HUU UNA MDA MREFU SASA HAUKUANZA LEO JUZI WALA JANA YANI DAH USISEME HAKUNA UCHAWI SEMA HUJAROGWA KWAKWELIKuna maradhi mengine hayatibiki Hospitali, ila wao wanaweza hasa maradhi ya Viini macho.
Kuna mgonjwa anakuwa anaumwa ile serious kabisa, lakini kila kipimo atapimwa na ugonjwa hautaonekana.
Baadhi ya Madaktari ikifika stage hii atawaita ndugu wa Mgonjwa atawaambia Ugonjwa huu sio wa Hospitalini, kwahiyo ndugu mtatikiwa kujiongeza either muende Mkakanyage Mafuta au Muende huko kwingine