Natafuta mganga wa kienyeji konki

Laki ni kubwa sana. Mganga wa kweli anakupa dawa kwanza ukifanikiwa unarudi kulipa
Ni kweli ila hata mm nimeenda Sana Kwa watu hao ila naona kama nao siku hizi wana mahitaji kwahy inabidi kupewa kitu kidogo.
 
HUJAMBO KAKA NAOMBA MSAADA TAFADHALI NATESEKA UZI HUU UNA MDA MREFU SASA HAUKUANZA LEO JUZI WALA JANA YANI DAH USISEME HAKUNA UCHAWI SEMA HUJAROGWA KWAKWELI
Salama Kaka, habari za kwako?

Dunia ina mengi ambayo hatuyafahamu, ndiyo maana Wazee walipata kusema tembea uone
 
Karibu mbeya kama upo serious lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…