Natafuta mganga wa kienyeji konki

Vita ya nguvu za giza ni mbaya sana, ikitokea umemkosakosa akafight back basi lazima mmoja wenu achungulie kaburi au ateketeze uzao wake.

Isije kuwa ni hasira tu zinakusukuma hivyo zikiisha ukajutia.
 
Mzee Mwandulami yule alifariki mwaka jana ambapo alikuwa amejijengea kaburi la billion 1? Sema Yule mzee alikuwa sio poa, kwahiyo kijiti kapewa mtoto wake?
Uje pm kesho ili nitafute.
Ni mtoto wa yule mwandulami mganga maarufu njombe. Alitibu hadi waliologwa wakawa vichaa. Niliona kwa macho yangu
 
Vita ya nguvu za giza ni mbaya sana, ikitokea umemkosakosa akafight back basi lazima mmoja wenu achungulie kaburi au ateketeze uzao wake.

Isije kuwa ni hasira tu zinakusukuma hivyo zikiisha ukajutia.

Hapana sio hasira ndugu,maana ingekuwa hasira huwa sikai nayo miezi

Ukiona nimeamua hii njia nime risk tayari,mwishoni wote tutakufa lakini tukiwa hapa duniani unyonge ni mwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…