Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Umeamua kuja na ID nyingine eeh!

[emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wanakushangaa wewe mwanamke au mwanaume ebooo?yani ID ni moja tu nifungue fake ID kwa ajili ya kukujibu wewe,wewe kama nani?toka uzi unaanza unajifanya kunikomalia zaidi unajiaibisha tu maana nipo nawe mpaka maneno yakuishe....
Huwezi kushindana na mwanamke kwa maneno ukiweza basi we mwanamke pia[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wewe ni mwanaume ama mwanamke unatuhaibisha sisi wanaume wenzio unabishana na mbususu kweli?

Alafu bora hata ingekuwa anabishana na point,haeleweki mala Sina IQ Mara Sina malezi mazuri,mara anataka akomeshe tabia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mpaka sasa haeleweki mi nahisi tunashare nae dudu ndio maana ana hasira na mimi sio bure,haiwezekani uzi wangu mtu anaumia kwa mambo yangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wanakushangaa wewe mwanamke au mwanaume ebooo?yani ID ni moja tu nifungue fake ID kwa ajili ya kukujibu wewe,wewe kama nani?toka uzi unaanza unajifanya kunikomalia zaidi unajiaibisha tu maana nipo nawe mpaka maneno yakuishe....
Huwezi kushindana na mwanamke kwa maneno ukiweza basi we mwanamke pia[emoji28][emoji28][emoji28]
Keep on playing hide n' seek but nothing will change,utamaliza multiple ID zote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wanakushangaa wewe mwanamke au mwanaume ebooo?yani ID ni moja tu nifungue fake ID kwa ajili ya kukujibu wewe,wewe kama nani?toka uzi unaanza unajifanya kunikomalia zaidi unajiaibisha tu maana nipo nawe mpaka maneno yakuishe....
Huwezi kushindana na mwanamke kwa maneno ukiweza basi we mwanamke pia[emoji28][emoji28][emoji28]
Kaingia cha Kike🤣 🤣🤣
 
Vita ya namna hii ni hatari,nilizo shuhudia nyingi kuna mmoja wenu atapata ukilema wa kudumu au kufa kabisa endepo na mwenzio ataanza kukulushia makora ya nyuklia kua makini.
 
Usisemee mioyo ya watu,pengine na mimi nimesharogwa sana tu,usiyoyajua yasikupe shida
Hapa jambo ni moja tu na lazima likamilike hakuna ushauri wa kurudi nyuma
Dunia ndio hii na sisi ndio walimwengu
Ukifanikiwa nistue mkuu, mana na mimi nina jambo langu, kuna mtu kanirudisha enzi za ujima kimasihara
 
Poleni na majukumu ya kila siku
Nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha

Moja kwa moja kwenye mada,nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo

Hii dunia ina mengi,na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha,nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza, ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana
Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.

Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu
Watu wa mahubiri si ndio watakuokoa usipagawe na mapepo!

Nadhani bulldozer Mwamposa anakufaa mpendwa, karibu kwa mpakwa mafuta wa BWANA uwekwe huru.
 
Kuna Mwanangu mmoja,alidhulumiwa na rafiki ake baada ya kudhulumiwa huyo rafiki ake akamfanyia mbaya nyingine ya maisha,jamaa akapambana akatatua matatizo yote aliyosababishiwa na huyo rafiki ake aliemdhulumu.

akaja akaniambia CONTROLA nataka kwenda kwa mganga kumtoa uhai flani,nikamuuliza uko serious? akasema YES nipo serious,nikamshauri usimuue tumfanyie tu uhuni wa mjini ili abaki na uhai wake ila awe na adabu kila akikuona.

akasema hapana Boss nataka kumpoteza sitaki kumuona kabisa, nikamwambia Poa baba ngoja nikutaftie namba za mtu ila andaa nauli yako kabisa,akasema haina shida.

Nikampa namba kweli wakaongea akaambiwa apande gari aende yeye kama yeye akashtaki kwa mwalimu mkuu (mganga) kweli kesho yake mwanangu akaniaga akaniambia CONTROLA mi nasepa kwa mzee kufanya yangu.

Safari ikaanza jamaa akaenda,kufika akashtaki bibi (mganga) akamuuliza mara kumi kumi,kijana uko tayari kufanya unachotaka,jamaa akasema ndio bibi nimeamua kweli.

Bibi (mganga) akamwambia kama kweli uko tayari naomba kaniletee PAKA mweusi, asiwe na doa popote pale mlete,Nataka ukimleta ndio tumtumie kufanya unachotaka.

Mwanangu akasema sawa bibi,akamuachia bibi sadaka pale akamuaga akaondoka akarudi town, weekend tuko zetu nyama choma tunachangamsha meno ndio jamaa ananisimulia safari yake ilivyokua na anahitajika kufanya nini.

nikamuuliza sasa mwanangu paka mweusi unamtoa wapi? akaniambia tulia wewe controla mimi mwenyewe paka mweusi nawajua paka weusi walipo,basi tukataniana pale mwisho tukaachana.

Nikaendelea na mishe zangu,jamaa na yeye na mishe zake huku akitafuta paka mweusi, tafuta tafuta na wewe hajapata, Akapata mfugaji mmoja wa Paka yupo bagamoyo (huyu n mfanyabiashara wa paka) ana paka kila aina wana majina ki ukweli ukifika pale unaweza hisi sijui wale n sungura,kumbe ni paka.

kufika pale jamaa paka mweusi anae mmoja tu ila huyu paka ana kidoti cheupe kidogo sana mkiani,jamaa angu akasema nipe huyo huyo namtaka.

nikamvuta pembeni nikamwambia,(oya bibi kakwambia anataka paka mweusi tiiii huyu si ana kidoti?) akaniambia tulia weweee najua ntavyofanya.

Akatoa pesa akahesabu noti kadhaa,akampa muuza paka tukaekewa paka wetu kwenye boksi tukaenda mtia kwenye gari haoo tukageuka kurudi town.

Kufika town,jamaa ana furaha isiyo kifani ila mimi moyoni kengele ya Alarm ilishalia,tukaenda kwake nikamuacha na paka wake mimi nikaenda zangu home.

Huku nyuma mwana akaenda nunua SUPER BLACK akamchovya paka mkia kwenye kile kidoti,akatulia ikakauka akampga blower nyoya likawa jeusiiii paka akawa mweusi tiiiiiiiiii,hana tone la weusi hata mahali hata upewe umkague mwezi mzima huwezi jua kitu.

Akaniambia BOSS naenda fanya kazi yangu rasmi,akaniaga akaenda kwa bibi jamani jamani jamani duniani kuna waganga feki na kuna waganga ORIGINAL

Bibi aligundua yule paka ana doti mkiani na rafiki angu mimi akafukuzwa kwa hasira na akapewa adhabu juu (siwezi zisema).

Lengo la hii simulizi fupi ni nini Maya? kuwa makini sana na waganga wana masharti magumu (hasa wale waganga OG) na fanya ufanyavyo ukishafanya kazi na mganga lazima kuna sharti utabaki nalo maishani mwako,hasa hili la kutoa uhai wa mtu (sijasema unataka kutoa mtu uhai)

waganga hawaui bali wanachukua wale watu wote mnaotaka wauliwe,kisha unapewa huyo mtu umfanye unachotaka. Huku nyuma ndugu watajua mtu kafa ila ukweli n kwamba waganga hawaui ukitaka ku ua utamuua mwenyewe kwa mikono yako. Kuwa makini na waganga maya.

Kama kuna aliekukera unataka tumshikishe adabu ni simple sana, nina team ya adhabu uje na pesa tu nzuri useme unachotaka halafu utaona atachofanywa huyo aliechokonoa furaha ya moyo wako,ila waganga ni kujitafutia stress tu.

Nitafute nikupe team ya WASIOJULIKANA kwa bei rahisi sana.

Ila kama ni mganga wa ukweli na umedhamiria,haya ila sikushauri narudia tena sikushauri.
 
Mambo ni yale yale.Kitakachogeuka badae kitakua ni kulogana.kwasababu hata hao utakaowaloga nao watapambana kujiagua mwishoni watajua ni wewe watajibu mashambulizi.Kwasababu wataalamu wanaotumika kuloga ndio hao hao wanaoagua.kwahiyo mnaweza kujikuta mmeangamizana uku wataalamu wakineemeka.Kwahiyo haya mambo yanahitaji umakini na busara sana.
Kwa umakini na busara nilitakiwa nilipwe pesa zangu tangu mwaka jana.
Hapa tulipofikia ni kupambana kuondoa unyonge. Simuonei mtu. Kama wao wataloga kisa nimetumia mbinu kulipwa pesa yangu nawakaribisha. Nimeexperience kulogwa tangu utotoni na sijawah lipiza kisasi, nimeponea kanisani ila kwa hili nimechagua njia za jadi.
 
Back
Top Bottom