Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Kuna mchaga nilikua napiga nae story, anasema ile spirit ya kichaga ya kusaka life now haipo. Vijana wanapenda shortcut mno, wengi wana utajiri wa janjajanja kama huo wa mleta uzi.

Komaa kijana, jifunze nidhamu ya pesa la sivyo utaishia kuliwa ndgo dunia imeharibika hii.
Mbona mnakimbilia kuliwa tigo kana kwamba ndo sheria ya mtu kupewa uchawi wa pesa? Ebu twambie we wenyewe umeliwa mara ngapi?
 
Kwani mimi nimetangaza nahitaji utajiri kama wewe ndgu!!

Kaza fuvu hilo, kuna matajiri wanakupa mpunga na wewe unakua punga.
Dunia imeharibika, masharti yanabadilika.

Labda tu nikueleze kua huo utajiri wa kimiujiza kafara zake nyingi ni ili kumkufuru Mungu. Ufanye jambo ambalo ni chukizo kwa Mungu na wanadam.
Kuua, kubaka(utabaka sana vichaa kijana), kuliwa ndogo(utaliwa mpaka liwe tobo) nk.
 
Kama upo siriasi nikupe namba ya mtu yupo ssumbawanga ila sio bure mzee ye ni dogo ana mganga wake mambo ya ndagu hauui mtu sharti lake ni kuleta watu wawili tu sasa dogo alipata mmoja akanambia na mimi saa nafasi yangu nakupa wewe kama upo tayari
Mis si kwamba sitaki utajiri ila maswala ninayofanya najuwa yatanipa utajir ila kwa kuchelewa
 
Sasa si ungechukua huo wa fasta fasta..
 
Kwani mimi nimetangaza nahitaji utajiri kama wewe ndgu!!

Kaza fuvu hilo, kuna matajiri wanakupa mpunga na wewe unakua punga.
Dunia imeharibika, masharti yanabadilika.

Labda tu nikueleze kua huo utajiri wa kimiujiza kafara zake nyingi ni ili kumkufuru Mungu. Ufanye jambo ambalo ni chukizo kwa Mungu na wanadam.
Kuua, kubaka(utabaka sana vichaa kijana), kuliwa ndogo(utaliwa mpaka liwe tobo) nk.
Acha zako... Punguza woga alafu
 
Inaelekea ni mtu aliyekata tamaa(money by any means) . Unakumbuka kuna mtu aliyeambiwa atupe kamba ziwani halafu aivute taratibu bila kuangalia nyuma? Aligeuka kwa ujanja akakuta anamburuza mama mzazi, aliachia kamba na kukimbia. Wakati huo mama yake alikuwa hoi nyumbani, kuachia kamba ndio kupona kwa mama. Unayataka haya?. Ila angeua mama yake kwa style ile angekuwa tajiri!!
 
mkuu inaonekana mambo haya unayajua in-deep sana
 
Kiukweli sijasoma hadi mwisho kuona mrejesho wa huyu mleta uzi kama alifanikiwa.
Ila iwapo ulifanikiwa naomba kujuzwa kwa mali zilizoibwa kama kuna uwezekano wa kuzipata?
matokeo ni mwizi apewe ishara ya kurudisha mzigo ila akishupaza shingo basi livunjike kabisa hata Biblia imesema.
 
Mnazunguka t kama unaeza kwenda congo nikupe m2 uende nae ukaze moyo ujpgie pesa z wataalam wa uko nichek 0683747270
 
Back
Top Bottom