Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Watu wamevurugwa.
Jana kuna mtu kaandika uzi asaidiwe kujengewa nyumba,biashara na alipiwe ada
Eee nikasema kumbe ni rahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamevurugwa.
Mbona mnakimbilia kuliwa tigo kana kwamba ndo sheria ya mtu kupewa uchawi wa pesa? Ebu twambie we wenyewe umeliwa mara ngapi?Kuna mchaga nilikua napiga nae story, anasema ile spirit ya kichaga ya kusaka life now haipo. Vijana wanapenda shortcut mno, wengi wana utajiri wa janjajanja kama huo wa mleta uzi.
Komaa kijana, jifunze nidhamu ya pesa la sivyo utaishia kuliwa ndgo dunia imeharibika hii.
Kwani mimi nimetangaza nahitaji utajiri kama wewe ndgu!!Mbona mnakimbilia kuliwa tigo kana kwamba ndo sheria ya mtu kupewa uchawi wa pesa? Ebu twambie we wenyewe umeliwa mara ngapi?
Sasa si ungechukua huo wa fasta fasta..Kama upo siriasi nikupe namba ya mtu yupo ssumbawanga ila sio bure mzee ye ni dogo ana mganga wake mambo ya ndagu hauui mtu sharti lake ni kuleta watu wawili tu sasa dogo alipata mmoja akanambia na mimi saa nafasi yangu nakupa wewe kama upo tayari
Mis si kwamba sitaki utajiri ila maswala ninayofanya najuwa yatanipa utajir ila kwa kuchelewa
Acha zako... Punguza woga alafuKwani mimi nimetangaza nahitaji utajiri kama wewe ndgu!!
Kaza fuvu hilo, kuna matajiri wanakupa mpunga na wewe unakua punga.
Dunia imeharibika, masharti yanabadilika.
Labda tu nikueleze kua huo utajiri wa kimiujiza kafara zake nyingi ni ili kumkufuru Mungu. Ufanye jambo ambalo ni chukizo kwa Mungu na wanadam.
Kuua, kubaka(utabaka sana vichaa kijana), kuliwa ndogo(utaliwa mpaka liwe tobo) nk.
Mganga gani huyo, akupe utajiri ye hautaki?
Na pia pesa aiwezi kumpa mwanadamu furaha
Pesa aiwezi kukupa furaha ata uwe na utajiri kama wa Suleiman
Arafu mwamposa simjui na sijawahi ata kukutana nae Am a Muslim proud of it
Inaelekea ni mtu aliyekata tamaa(money by any means) . Unakumbuka kuna mtu aliyeambiwa atupe kamba ziwani halafu aivute taratibu bila kuangalia nyuma? Aligeuka kwa ujanja akakuta anamburuza mama mzazi, aliachia kamba na kukimbia. Wakati huo mama yake alikuwa hoi nyumbani, kuachia kamba ndio kupona kwa mama. Unayataka haya?. Ila angeua mama yake kwa style ile angekuwa tajiri!!
Wasiwasi ndo akili, kalaghabaho!!Acha zako... Punguza woga alafu
Doooo salareeeeeUmempata ndg na unakuwa tajiri haswa na mtu maarufu uzuri wake hana masharti magumu,sharti ni kumpa tigo mfano leo tarehe 12/11/022 ukampa tigo ni mpaka mwakani tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo,simple tu ndg
tunduma sehemu gani na kwa nani?Nenda tunduma