Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Niliwahi kuwa mhanga wa kutafuta wa ganga kama ulivyo wewe ,nilifanikiwa ila nilipoteza pesa nyingi. Kawaida uganga ni fani pana sana,wapo waganga wabobezi wa kitu kimoja na wengine wanatibu mambo mengi kwa pamoja ,Ila kundi hili ndio na waganga wa mchongo wako wengi sana.

Dada yangu alipatwa na ugonjwa wa macho ghafla akawa kipofu tuliangahika sana mahospitalini bila mafanikio, mpka Dr mmoja mtaalam wa macho ndio alitupa ushauri huo wa kusaka waganga wa kienyeji ,hapo ndio kazi ilianza.Ilitugharimu kamilioni kwa waganga makanjanja kabla kumpata mganga sahihi wa tatizo letu,hakika waganga wapo .tulienda morogoro vijijini sehemu inaitwa kolelo mpaka kufika huko tulitumia Sikh nzima,dar Moro na Moro kolelo mpaka tunafika kwa mganga tukifika SAA kumi jioni.

Na tiba ilianza nusu SAA baada ya kufika tulieleza masahibu yote na kuttangatanga koote mpaka kumpata mganga mkarimu ndio akatusaidia kukupata. Jamaa akatupa lisaa limoja mgonjwa ataona tena,wakati huo mgonjwa ana miezi mi4 haoni Ila ilikua hajabu mpaka SAA mbili usiku wa Sikh hiohio mgonjwa aliweza kuona tena japo kwa tabu na kizunguzungu kika mkumba ila kesho yake FIBA ziliendelea mpaka jioni ya Siku ya pili alionavizuri kabisa kwa ukamilifu na SAA moja usiku tulianza safari kurudi Moro town kesho kutwa yake tukawa home mapema .

Had I naandika hapa sister yupo fiti .nimeeleza machache ili upate mwangaza wa waganga wakienyeji jinsi walivyo gawanyika,matapeli wapo mjini .
 
Kukaza roho kivipi ? Mana me kafara za kumtoa binadamu mwenzangu kwaajiri tu ya mafanikio siiwezi.
ndo maana nimeelezea na kabisa , kazi huwa nikulingana na unachotaka , kile utakacho kule utakipata , akikupenda akuingize kwa hilo pori lake utaona dunia nyingine na mambo ambayo nikielezea hapa utaona kama chai vile , ila sharti kuu mtakacho kubaliana usikiuke hata nukta
 
Niliwahi kuwa mhanga wa kutafuta wa ganga kama ulivyo wewe ,nilifanikiwa ila nilipoteza pesa nyingi. Kawaida uganga ni fani pana sana,wapo waganga wabobezi wa kitu kimoja na wengine wanatibu mambo mengi kwa pamoja ,Ila kundi hili
Waganga wasafi hawa ndio tunawahitaji! naomba PM hata contact zake au nielekeze tu mpaka mahali husika!
 
ndo maana nimeelezea na kabisa , kazi huwa nikulingana na unachotaka , kile utakacho kule utakipata , akikupenda akuingize kwa hilo pori lake utaona dunia nyingine na mambo ambayo nikielezea hapa utaona kama chai vile , ila sharti kuu mtakacho kubaliana usikiuke hata nukta
mashariti ya kiwaki haya
 
mashariti ya kiwaki haya
Hamna mganga asiyekuwa na masharti ,kwa mfano utakuta kijana anataka utajiri wa fasta , aamke kesho akiwa don pale lazima atalipia sana tu , ila kwa tiba yupo sawa yule jamaa , one time nikiwa kule kulikuja mvuvi alitaka dawa , aliitishwa kitu kidogo cha kawaida ila jamaa alipofika kwa ziwa , nlishuhudia boti mara 5 kwa siku ilirudi imejaa
 
Niliwahi kuwa mhanga wa kutafuta wa ganga kama ulivyo wewe ,nilifanikiwa ila nilipoteza pesa nyingi. Kawaida uganga ni fani pana sana,wapo waganga wabobezi wa kitu kimoja na wengine wanatibu mambo mengi kwa pamoja ,Ila kundi hili ndio na waganga wa mchongo wako wengi sana.Dada yangu alipatwa na ugonjwa wa macho ghafla akawa kipofu tuliangahika sana mahospitalini bila mafanikio, mpka Dr mmoja mtaalam wa macho ndio alitupa ushauri huo wa kusaka waganga wa kienyeji ,hapo ndio kazi ilianza.Ilitugharimu kamilioni kwa waganga makanjanja kabla kumpata mganga sahihi wa tatizo letu,hakika waganga wapo .tulienda morogoro vijijini sehemu inaitwa kolelo mpaka kufika huko tulitumia Sikh nzima,dar Moro na Moro kolelo mpaka tunafika kwa mganga tukifika SAA kumi jioni.Na tiba ilianza nusu SAA baada ya kufika tulieleza masahibu yote na kuttangatanga koote mpaka kumpata mganga mkarimu ndio akatusaidia kukupata. Jamaa akatupa lisaa limoja mgonjwa ataona tena,wakati huo mgonjwa ana miezi mi4 haoni Ila ilikua hajabu mpaka SAA mbili usiku wa Sikh hiohio mgonjwa aliweza kuona tena japo kwa tabu na kizunguzungu kika mkumba ila kesho yake FIBA ziliendelea mpaka jioni ya Siku ya pili alionavizuri kabisa kwa ukamilifu na SAA moja usiku tulianza safari kurudi Moro town kesho kutwa yake tukawa home mapema .had I naandika hapa sister yupo fiti .nimeeleza machache ili upate mwangaza wa waganga wakienyeji jinsi walivyo gawanyika,matapeli wapo mjini .
Naomba namba zake inbox
 
HEe...yaani Dk akawashauri mtafte mganga wa kienyeji!? Aise..hongera kwa kupona
 
Mganga wa kweli ni YESU. Yupo pia hapo Bagamoyo muite atakusikia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niliwahi kuwa mhanga wa kutafuta wa ganga kama ulivyo wewe ,nilifanikiwa ila nilipoteza pesa nyingi. Kawaida uganga ni fani pana sana,wapo waganga wabobezi wa kitu kimoja na wengine wanatibu mambo mengi kwa pamoja ,Ila kundi hili ndio na waganga wa mchongo wako wengi sana.Dada yangu alipatwa na ugonjwa wa macho ghafla akawa kipofu tuliangahika sana mahospitalini bila mafanikio, mpka Dr mmoja mtaalam wa macho ndio alitupa ushauri huo wa kusaka waganga wa kienyeji ,hapo ndio kazi ilianza.Ilitugharimu kamilioni kwa waganga makanjanja kabla kumpata mganga sahihi wa tatizo letu,hakika waganga wapo .tulienda morogoro vijijini sehemu inaitwa kolelo mpaka kufika huko tulitumia Sikh nzima,dar Moro na Moro kolelo mpaka tunafika kwa mganga tukifika SAA kumi jioni.Na tiba ilianza nusu SAA baada ya kufika tulieleza masahibu yote na kuttangatanga koote mpaka kumpata mganga mkarimu ndio akatusaidia kukupata. Jamaa akatupa lisaa limoja mgonjwa ataona tena,wakati huo mgonjwa ana miezi mi4 haoni Ila ilikua hajabu mpaka SAA mbili usiku wa Sikh hiohio mgonjwa aliweza kuona tena japo kwa tabu na kizunguzungu kika mkumba ila kesho yake FIBA ziliendelea mpaka jioni ya Siku ya pili alionavizuri kabisa kwa ukamilifu na SAA moja usiku tulianza safari kurudi Moro town kesho kutwa yake tukawa home mapema .had I naandika hapa sister yupo fiti .nimeeleza machache ili upate mwangaza wa waganga wakienyeji jinsi walivyo gawanyika,matapeli wapo mjini .
Siamini ktk kuutegemea ushirikina ila dawa za asili ambazo hazihusishi ushirikina naweza kutumia.

Nasikitika kusema kwamba kuna mtu wangu wa karibu sana alikumbwa na dhahama hii ya upofu baada ya kuwa mke mwenza. Alikaa nao upofu huo zaidi ya miaka mitano, hospitali kubwa zote hawaoni tatizo katika macho.

Ninachosikitika zaidi taarifa hii ya leo nimeipata baada ya miezi mitatu sasa tangu afariki dunia 😭😭😭
 
Habari

Nahitaji kufahamishwa mganga mzuri wa kienyeji ambae anapatikana maeneo ya Bagamoyo

Kama kuna yeyote unamfahamu naomba unisaidie mawasiliano yake

Ahsante
Mkuu, Biblia imesema amelaaniwa mtu awaye yoyote yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na moyoni mwake amemwacha Bwana. Achana na ulozi mkuu. Mwisho wake ni mbaya sana.
 
Siamini ktk kuutegemea ushirikina ila dawa za asili ambazo hazihusishi ushirikina naweza kutumia.

Nasikitika kusema kwamba kuna mtu wangu wa karibu sana alikumbwa na dhahama hii ya upofu baada ya kuwa mke mwenza. Alikaa nao upofu huo zaidi ya miaka mitano, hospitali kubwa zote hawaoni tatizo katika macho.

Ninachosikitika zaidi taarifa hii ya leo nimeipata baada ya miezi mitatu sasa tangu afariki dunia 😭😭😭
Upo sahihi watu wana changanua ushirikina na waganga ,Tokea dunia kuumbwa dawa za mitishamba zimetumika hata sasa dawa zinazotumika hspl ni zile za mitishamba ila zimepita kiwandani na maabara, ila ukiwa mboshi afrika utakufa kizembe kama utazikimbia dawa za asili.Kwa nini nasema hivyo? Tafiti nyingi zimehusisha ulaya nk:tafiti nyingi zime hussha kwa wanayo pata changamoto zao huko huko ,sisi tuna rithiswa kutoka huko ulaya ili hali tulikua na dawa zetu. Nakupa mfano mmoja.

MTU akigongwa na nyoka sina ya green mamba hsptl hakuna dawa ya kutibu hata uende nje ya nchi.ukigongwa na nyoka sina ya moma ama kifutu hakuna dawa ya hsptl inayo weza kutibu zaidi ya kukatwa ile sehemu iliojeruhiwa. Ila nyoka wote hao kienyeji unatibika na unapona kabisaa.hii nikutokana na tibazetu za jadi.Wazungu wameiba kila kitu chetu kuanzia aridhi,madini ,mimea pia na tamadunizetu kila kona, walitudanganya vya kutosha tuache mila zetu tiba zetu,hata dini zetu tuna sahau saili.

Leo hii wewe unae soma hapa uumwe na tumbo uletewe dawa kati ya fragile na mfumbasi utachagua ipi? Utakimbilia fragile na kuacha mfumbasi ili hali mfumbasi utawahi kutibu kwa haraka kuliko fragile tena bila madhara.Angalia muhindi anavyo jali tiba hasili ,ona mchina nk ski wajinga wanajua thamani yake.
 
Unataka Kwa akili ya Nini!? Kuna waliospecialize kwenye fani mbali mbali
1) kesi
2)kumdhuru mgoni
3) kumdhuru mwizi wa Mali Yako
4) kuzuia wizi nk
Nb SEMA unataka yupi tukupe namba!??
Usikubali kuonewa na mtu
 
Back
Top Bottom