Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Unataka Kwa akili ya Nini!? Kuna waliospecialize kwenye fani mbali mbali
1) kesi
2)kumdhuru mgoni
3) kumdhuru mwizi wa Mali Yako
4) kuzuia wizi nk
Nb SEMA unataka yupi tukupe namba!??
Usikubali kuonewa na mtu

Mkuu mkuu mbona inbox yako umefunga..?
 
Wakuu mambo vp?

Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!

Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.

N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
 
Back
Top Bottom