Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Wakuu mambo vp?

Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!

Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.

N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Tatizo Gani?
 
Umefanya nicheke kwa sauti, kumbe watu wa hivyo wanakuwaga wameaga kwao.

Ngoja nione, mwezi ujao nataka nimtumie hela kumvuta, akija tu namfungia ndani siku mbili baadaye mtanisoma nami nimekuwa Bilionea 🤗
Ndio.. usicheze nao kabisa 😂

Usiache kuleta mrejesho
Nimekaa hapa nasubiria vile utakuja kusema madawa yako yamegonga ukuta yakakurudia
 
Back
Top Bottom