Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Kama waganga wameshindwa kukusaidia si uende kuzimu moja kwa moja kwa baba lusifer mwenyewe akusaidie, hawa wengine ni maajent wake watu
 
Kama waganga wameshindwa kukusaidia si uende kuzimu moja kwa moja kwa baba lusifer mwenyewe akusaidie, hawa wengine ni maajent wake watu
Ataendaje kuzimu bill connection,toeni ramani yauhakika.
 
Wakuu mambo vp?

Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!

Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.

N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
WaTanzania Kwa Waganga hatujambo! Badala ya kuwajibika na kumwomba Mungu/Allah unakimbikia kwa mganga wa kutaka Hela.
 
Ni vema ukasema ni tatizo gani, ndipo mganga atajua lipo ndani ya uwezo wake au laa.
 
Jaribu huyu atakusaidia
 

Attachments

  • IMG-20230315-WA0005.jpg
    IMG-20230315-WA0005.jpg
    69.6 KB · Views: 41
KUNA MZEE mmoja ila galama zake ndo kubwa ila huwa anafanya kazi bila maipo yoyote na tatizo lako likiisha ndo umlipe yy kauli nmbiu yake anasemaga kuwa ''PESA YA DAWA HAIDHULUMIWI. Sasa jichanganye usilipe na huwa anasema mda ukifika dawa zitakukumbusha kuwa tayari na tatzo lako limeisha ila usipolipa hanaga msamaha yule mzee keshamaliza matapeli wengi sana wanaojifanya bkudhurum kazi zale ila huyu ni uhakiika hata ukitaka kwenda mbingu ya akina zumaridi na geodavii anakupa nauli unaenda na kurudi
🤣🤣
 
Kwanza pole kwa matatizo, nenda Kimara Temboni, ulizia Ngomeni, nenda kamuone Kuhani Musa, utapatiwa vifaa vya kiroho matatizo yako yote yatakwisha!.
P
Kaka kuhani mussa ni mganga aliyejivika kivuli Cha dini
Kwanza mfitinishi katuchonganisha familia yetu huyo mtu
 
Sasa Mkuu kwenye Kampuni kunakuwa na watu wenye imani tofauti na kila mtu na fikra zake. Mbona Uswazi juzi kati hapa kuna Dryer za Saloon ziliibiwa likatolewa tangazo siku 3 vifaa virudishwe lasivyo tusije laumiana. Siku 3 zikapita hakuna kilichorudi baada ya siku mbili wale Wezi walirudisha wenyewe vile vitu huku wakiwa Wamechakaa wamekuwa na manyonya kama Mbwa. Usicheze na Imani Mkuu.
Ulozi unavuma kwa stories za kutunga kama hizi
 
Back
Top Bottom