Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Ni kweli haingwi ila mf. Umeishi na imani hiyo tokea mdogo na Sasa shukurani ni kutoolewa hadi 35, kila kazi unafukizwa ikifika miezi 3, ukipata mwanaume anaota ajali anakufaa huyo Yesu anakuangalia wanadamu wakikupiga mashambulizi hadi basi .

Anachokupa ni uhai. Mateso kama yote nimeishi Mimi na majini ya ndugu wa mama yangu miaka na miaka naomba kanisani kama Nini nimetupwa chooni nyota imeshushwa nimefungwa halafu wewe upo Yesu ndio suluhisho unamjua umemuonaga . Ni Bora mtu tu awe mpagani
Wapo waganga wa kweli wa kupambania hayo ila siyo kwa moshi, jitahidi kufika Tanga.
 
Humu ni kufurahishana tu! Hakuna alie serious ambae atakupa muongozo sahihi wa kutatua mambo yako zaidi zaidi utapigwa…waliowahi kuanza kutaka hii Misaada hapo zamani kidogo baadhi ndio walipewa directions na wanarudi kusema wamefanikisha ila ukiwaomba na Wewe wakupe muongozo wanakunja.
 
Humu ni kufurahishana tu! Hakuna alie serious ambae atakupa muongozo sahihi wa kutatua mambo yako zaidi zaidi utapigwa…waliowahi kuanza kutaka hii Misaada hapo zamani kidogo baadhi ndio walipewa directions na wanarudi kusema wamefanikisha ila ukiwaomba na Wewe wakupe muongozo wanakunja.
Kweli hawakupi directly direction wanakupa zaidi wale walioshindwana nao kweli alipigwa sana
 
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.

Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.

Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.

Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
Kumbe yote yalianzia huku hadi mtu kaswagiwa kwenye chupa?Wawezya woo!🤔🤔🤔
 
Habari ya wakati huu ndugu, kama unamjua mganga popote hapa TANZANIA mwenye uwezo wa kumfanya mtu apate mali (PESA) Kwa njia yoyote au freemason na una uhakika 100% tafadhali unisaidie kunielekeza. Natafuta sana hilo jambo

Nipo Moshi

0748 605 404
Fanya kazi acha uvivu,na kutaka Kitonga🤔
 
Habari zenu ndugu zangu?
Naomba msichoshwe na heading ya huu Uzi, najua Kuna nyuzi nyingi za namna hii zimekwisha kuandikwa humu. Nimejaribu kutafuta msaada kwenye nyuzi zilizopita Ila sijafanikiwa kupata msaada, ndiyo maana nimechukua maamuzi ya kuanzisha Uzi mpya.​
Kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo juu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35, naishi kwenye hii mikoa ya nyanda za juu kusini.​
Kulingana na changamoto ninazopitia kwenye maisha mpaka muda huu nahisi kupoteza tumaini kabisa kwenye aya maisha. Kila ninachofanya kinafeli. Kwa hali niliyonayo sasa sina kazi, Hela, nina ishi maisha ya kuungaunga na ya upweke, nahisi kutengwa na kukataliwa na kila mtu.​
Nimekuwa nikiishi maisha ya namna hii toka nimeanza harakati za kujitegemea mwaka 2010, nimefanya vibarua mbalimbali sehemu tofauti tofauti kuanzia viwandani, site za ujenzi, biashara ndogo ndogo, uvuvi, nimelima sana mahindi na alizeti, Ila mpaka Sasa sijafanya chochote cha maana zaidi ya kupata pesa ya kula na kuisaidia familia yangu ambayo ni duni, hali ambayo imepelekea kukaa bila kuoa. Yote hii ni kutokana na hali yangu ya maisha kuwa duni. Natamani sana kuwa na familia lakini changamoto zimekuwa nyingi mpaka nahisi kuchanganyikiwa.​
Mpaka nimeamua kuandika huku kwenye hili jukwaa ndugu zangu kweli nina shida. Naomba kama Kuna mtu ana connection ya mganga wa kweli ambaye anasaidia kutatua changamoto kama ninazo zipitia Mimi, basi naomba anisaidie namba zake au maelekezo namna ya kufika kwake.​
Ndugu zangu mpaka naandika hivi nimekwisha kufikiria kwa kina, kwa sasa sina cha kupoteza zaidi ya kuchukua maamuzi haya ya kwenda kwa mtaalamu ili kama nina mikosi na mabalaa ambayo yananiandama basi nikapate kusaidiwa kuondokana nayo. Milango yangu ya mafanikio ikapate kufunguka na kunyooka kama ilivyo kwa wengine.​
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote atakae guswa na bandiko langu. Naomba msaada wa hali na mali ndugu zangu ili na Mimi nijikwamue kwenye hili lindi la ufukara linalo niandama.​
 
Bro lakini kiuhalisia life ni tight, huoni watu kitaaa?,
Hili gurudumu ni gumu kiasi kwamba unaweza uhisi kuna mkono wa mtu kumbe laaa.
 
Bro lakini kiuhalisia life ni tight, huoni watu kitaaa?,
Hili gurudumu ni gumu kiasi kwamba unaweza uhisi kuna mkono wa mtu kumbe laaa.
Nakubarliana na wewe, Ila kulingana na hali ninayo ipitia kwa Sasa Sina budi kutafuta namna ya kujinasua ndugu yangu. Hatuwezi kusubili tu mambo yaje yenyewe, tunapaswa kujipambania kwa Kila namna.
 
Back
Top Bottom