Semere92
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 577
- 777
0689120019Naombeni msaada kuelekezwa NDENDE
Mtoto wadada yangu anasumbuliwa sana (hospitalini tatizo halionekani) tumehangaika kwa waganga nako bado
Nimeskia huko Ndende Kusini wako vizuri waganga wahuko so naomba mwenye kupajua huko vizuri aniekeze plz naomba msaada wako