Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Naombeni msaada kuelekezwa NDENDE

Mtoto wadada yangu anasumbuliwa sana (hospitalini tatizo halionekani) tumehangaika kwa waganga nako bado

Nimeskia huko Ndende Kusini wako vizuri waganga wahuko so naomba mwenye kupajua huko vizuri aniekeze plz naomba msaada wako
0689120019
 
Kimya sana, watu Tunasubiri mrejesho nasi tufanye yetu,
Maana waganga wamekuwa matapeli sana wale Og wengi wameshakufa.
Any update ya uhakika.
 
Kampuni inaibiwa million 20 inatoa tangazo kwenye mitandao na donge nono linatangazwa we hujiulizi kwa nini hilo donge nono lisipelekwe kwa mganga wamnase huyo mwizi?
WAGANGA, WACHUNGAJI, MUNGU, ALBADILI, UCHAWI, MIZIMU NI VITU VYA DHAHANIA NA VINAMEA SANA KWENYE KICHWA CHA MWENYE LOW IQ KUPITIA STORY ZA VIJIWENI
Kwanini hilo donge nono wasijilipe wao kupunguza gharama walioipoteza tayar.
 
Kweli nina shida ya mganga

Nataka hela ziwe tu zinaingia mpesa bila mimi kuhangaika kuamka asubuhi kufanya kazi
🤣🤣🤣 waambie watu uonane na wapemba waka Betue! Je wajua maana ya Kubetua?
Kama unaonaga kwenye social media vijana wadogo hela zimejaa kwenye diaba au begi kubwa...hatari sana no free money mpaka ukauze roho yako...
 
Aki natamani nami niwe na hizo hela😋😋
Ila masharti sasa ndio sitaweza

Kubetua ndio ikoje?
 
Aki natamani nami niwe na hizo hela😋😋
Ila masharti sasa ndio sitaweza

Kubetua ndio ikoje?
🤣 hiyo ni hatari! Unakuta unaweka pesa kidogo labda buku ten au mia tano kwenye diaba au begi kuna ibada inafanyika ya kuita majini..fumba na kufumbua unakuta hela zimejaa madiaba hata mawili au kwenye begi kuna dolars au Paund au euro! Majini nasikia yanaiba hela kwenye mabenki..

Sasa mashart yake usizitumie zile pesa mpaka ufanye maagano alafu pia usije ukazifanyia dhambi..mfano ukafungua Bar kubwa unaambiwa utakuta Bar yako inaungua mchana kweupe watu wanaona hadi majivu ukileta sijui zimamoto kufika maji hayatoki..hatari sana..
Ila zenyewe nasikia unaweza kutoa misaada kwenye ujenzi makanisa, misikiti, au kusaidia wasiojiweza.

Ukiona Tajiri ana ahidi nitatoa milioni 20 au nitamalizia ujenzi wa kanisa jiulize mara mbili mbili kilicho nyuma ya pazia.
Watu wengi wenye pesa za mafekeche huwa ni watoaji wazuri sana kwenye mambo ya misaada..Japo Sio wote.

NB; Nadhani ulishaona kwenye social media hata hapa Tanzania kijana/vijana wanatandaza hela kwenye meza au kitandani wanazitoa kwenye madiaba au mabegi na wengine wana mashine zile kama za benki za kuhesabia hela kabisa majumbani! Ukiona hivo huyo mtu usije ukamsogelea hata kidogo mkimbie...
Pia kama unamkumbuka yule GINIMBI wa zimbabwe kama sikosei..ndo humo humo..

Ila kama unataka sema nikupe chimbo🤣🤣🤣 ila ni bora ule ugali dagaa kwa amani kuliko kula kuku kwa hizo pesa huku moyoni unalia kilio kikali sana ambacho watu hawakioni.
 
🤣 hiyo ni hatari! Unakuta unaweka pesa kidogo labda buku ten au mia tano keenye diaba au begi kuna ibada inafanyika ya kuita majini..fumba na kufumbua unakuta hela zimejaa madiaba hata mawili au kwenye begi kuna dolars au Paund au euro! Majini nasikia yanaiba hela kwenye mabenki..

Sasa mashart yake usizitumie zile pesa mpaka ufanye maagano alafu pia usije ukazifanyia dhambi..mfano ukafungua Bar kubwa unaambiwa utakuta Bar yako inaungua mchana kweupe watu wanaona hadi majivu ukileta sijui zimamoto kufika maji hayatoki..hatari sana..
Ila zenyewe nasikia unaweza kutoa misaada kwenye ujenzi makanisa, misikiti, au kusaidia wasiojiweza.

Ukiona Tajiri ana ahidi nitatoa milioni 20 au nitamalizia ujenzi wa kanisa jiulize mara mbili mbili kilicho nyuma ya pazia.
Watu wengi wenye pesa za mafekeche huwa ni watoaji wazuri sana kwenye mambo ya misaada..Japo Sio wote.

NB; Nadhani ulishaona kwenye social media hata hapa Tanzania kijana/vijana wanatandaza hela kwenye meza au kitandani wanazitoa kwenye madiaba au mabegi na wengine wana mashine zile kama za benki za kuhesabia hela kabisa majumbani! Ukiona hivo huyo mtu usije ukamsogelea hata kidogo mkimbie...
Pia kama unamkumbuka yule GINIMBI wa zimbabwe kama sikosei..ndo humo humo..

Ila kama unataka sema nikupe chimbo🤣🤣🤣 ila ni bora ule ugali dagaa kwa amani kuliko kula kuku kwa hizo pesa huku moyoni unalia kilio kikali sana ambacho watu hawakioni.
Jamani mbona majaribu hivyo🤣🤣
Asa kwa mimi mpenda kamnyweso 😋 itakuaje si majini yatakasirika na sitachukua round?

Yeah hua naona watu wanaringishia pesa hadi unajiona hauko serious na maisha😂😂
Kwakwel wacha tu niendelee kula ugali na dagaa mchele kwanza ndio chakula chenye afya, kuku wengi wanaumwa mdondo.😅
 
🤣🤣🤣 kamyweso utapata hakana shida shida ni kufungua bonge la ofisi la kamnyweso haichuki round alafu na majini yalivo hayana huruma yanakuabisha mchana kweupe,moto ulikotokea haijulikani🤣🤣🤣
Usione watu wanakula bata zile zenyewe nyuma ya pazia..
Juzi kati kuna mother mmoja mtu mzima nilikua napiga nae story sasa akanambia jamani msione watu wana majumba na magari makali ukatamani..ishi jinsi Mungu alivokujalia..
Akanambia kuna rafiki yake mmoja alisoma nae alimwona anamaisha mazuri sana gorofa, magari..ikabidi amuulize mwezetu tupe siri ya mafanikio..🤣
Basi yule rafiki yake akamwambia karibu nyumbani kufika pale yule mother akazidi kupagawa..wakaongea mengi ila akamwambia mjini hapa, ila usije ukaisema hii siri..yule Mother akapelekwa kufunguliwa chumba chenye siri za huyo rafiki yake..Anakuambia alichokiona mule mpaka leo anapata mawenge(hallucianations)..aliogopa sana alivorudi nyumbani alikuwa anaweweseka usiku🤣🤣🤣 alimpiga bloku muda ule ule anatoka pale..nakajaribu kumdadisi uliona nini mpaka leo hataki kusema...anaogopa..🤣🤣🤣
 
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.

Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.

Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.

Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
Mtafute Dr Mshana [emoji16][emoji16]
 
🤣🤣🤣 kamyweso utapata hakana shida shida ni kufungua bonge la ofisi la kamnyweso haichuki round alafu na majini yalivo hayana huruma yanakuabisha mchana kweupe,moto ulikotokea haijulikani🤣🤣🤣
Usione watu wanakula bata zile zenyewe nyuma ya pazia..
Juzi kati kuna mother mmoja mtu mzima nilikua napiga nae story sasa akanambia jamani msione watu wana majumba na magari makali ukatamani..ishi jinsi Mungu alivokujalia..
Akanambia kuna rafiki yake mmoja alisoma nae alimwona anamaisha mazuri sana gorofa, magari..ikabidi amuulize mwezetu tupe siri ya mafanikio..🤣
Basi yule rafiki yake akamwambia karibu nyumbani kufika pale yule mother akazidi kupagawa..wakaongea mengi ila akamwambia mjini hapa, ila usije ukaisema hii siri..yule Mother akapelekwa kufunguliwa chumba chenye siri za huyo rafiki yake..Anakuambia alichokiona mule mpaka leo anapata mawenge(hallucianations)..aliogopa sana alivorudi nyumbani alikuwa anaweweseka usiku🤣🤣🤣 alimpiga bloku muda ule ule anatoka pale..nakajaribu kumdadisi uliona nini mpaka leo hataki kusema...anaogopa..🤣🤣🤣
Ukute watu wanafuga majoka🤣🤣
Wee hawezi kusema ukute alipewa onyo kali sana
Japo wapo wengine wana hayo maisha na wameyapata kihalali, hao ndio wanaofaidi

Sema ni vema kuishi ndani ya uwezo wako na usitamani vya wengine maana unaweza kupotea hivi hivi unajiona ukabaki kujuta tu
 
Jamani mkuje huku mnisaidie, nimeibiwa mume na mchepuko, nimetelekezwa na wanangu. Nataka mganga konki atakaetuma komboraa kwa ajili ya kumzindua mume wangu alikotorokea. Nielekezeni, kwa unae mtambua sehemu yoyote nikiwa na uwezo nitafika, Natafuta mganga mchawi au wa jini kwa simiyu, shinyanga; singida, bariadi, Tanga, Morogoro etc. Nafatilia koment, Walokole leo mnipishe tu yamenikuta. Maisha ina mitihani mingi.

Asante kwa watakaotoa konekshen
Wewe ulikimbiwa kwasababu ulikua na gubu
 
Back
Top Bottom