Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Nimekuwa naona katika kioo kuwa Yuko binti mwenye shida ya mahusiano hasa kusumbuliwa na wa ubani wake .
Tafadhali ,hakika ni wewe njoo PM ,dawa zako kabla hazijaoza na pia usisahau sifanyi kazi ijumaa na jumatano
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nakujaa pm na simu nakupigia.....
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nakujaa pm na simu nakupigia.....
Nakusubiri wahi kabla jua halijazama maana mababu likizama wanapumzika. 😀😀

Haya yalikuwa maneno ya mmama mmoja mwaka 2006 huko Kagera akinipanga ili aweze kufanikisha Jambo langu .

Itoshe kusema wewe ikiwa na hapa unapita nakueleza sikumuachia Mungu ipo siku hela yangu utailipa na fidia juu ,sijaacha kukutafuta ipo siku nitakukamata tu
 
Huhalqtq
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.

Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.

Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.

Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
mpakaa sasa tupe mrejeshooo
 
NGOJANJIWASHTUE WAATHIRIKA WA PDIDY WASOME HIII WAMALIZANE NAE JELA MAPEMA
 
Mji mtamuu mwaka flan weekend kunanmishe nilipiga na jamaa tukala kiasi kadhaa wakaja kuzingua ofisi wanatupeleka mahakaman tukasema poa

Sijui ikawaje wiki nkapigiwana mtu ati kuna binti kaenda pangan anataka kunimaliza na ndie kanitupia kesi napambana nayo ama nimtafute shehe aniombee ama niende pangani weeee nkamwambia naijua hioo nikija si unanmaliza kabjsa.

.akacheka.... nkawambia hii natoka mwambie labda atume nyingjne

Tukaitwa. Panel tukajieleza jama wakadili na wawili
tukaachiwa wa3 turudi kazini nkafanya mwezi nanusu nikaapply kwingjne nkapata nkaresign

Kumpigia simu anasemaa yaan nimeonaa una nyota kubwa sana na nilitaka kukwambia vitu vya kufanya utoke na hiokesi kama umeshinda hongera nkamblock

Maombi nayo n silaha
 
Panda GARI uelekeo usome TABORA ukiwa na Majina ma 3 ya mtu wako.

Itapendeza zaidi ukiwa na Picha yake ili kombora lisije tua kwa jirani.

Wana TABORA wote shikamoooni...Mkoa HATARI kuliko neno lenyewe HATARI.
 
Back
Top Bottom