Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Ujifunze kuwa na kiasi (hasa kwenye baadhi ya Biashara).Huyu jamaa alisema eneo lake linauzwa 18M tumtafutie mteja aisee sisi tumepata mteja wa 39M Leo saa Tano asubuhi ilikua tumalize biashara mteja kashakubali kulipia lenyewe kusikia eti tunataka kuchukua 21m aisee huyu mbwa kaghairi kasema hafanyi biashara na sababu zake hazieleweki aisee huyu jamaa sijui tumfanyaje aisee mwenye namba ya mganga mtaalamu naomba anisaidie pm huu ujinga aisee hajui huyu jamaa tumemtoa mbali Ili kuja kununua Hilo eneo lake analeta masihara na hela
Ungekubaliana na muuzaji akuachie 30%, asingebadili mawazo.