Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Wapuuzi sana, kitambo nilikuwa napangisha nyumba nikawapa na bei yangu, basi wanakuja na watu wakijua kabisa hawamudu bei ya hapo, ila wanawadai ya usumbufu na ya kuona nyumba...pumbavu nikawatimua.
Ulifanya la maana na sometime wana haribu baishara nyumba za watu
 
Ameghairi si eneo lake?tafuta lako uuze.
Nyie madalali wajinga sana yaani mi nile 18 we ule 21 pumbavu kabisa
 
Mkuu. Tukisimama upande wa mwenye mali nadhani sote tutakataa kuuza.
Pili. Bei inaweza badilika sokoni muda wowote hivo nayeye muuzaji ana haki ya kusema bei hii kwa hapa hapana.
Tatu. Dalali alishindwa nini kumueleza muuzaji mapema kabla hajaenda na mteja ili kama atakataa waweze kuwekeana dau jipya..? Faida kwa wote
Nakubaliana na wewe kwa maelezo yako,ila kama kuna tofauti ya milioni 10 sioni kama kuna shida,kwakuwa kama ungeweza kumpata mteja mwenyewe si ungefanya hivyo?

Kitendo cha kumtafuta dalali ni wazi unatambua mchango wake na kazi yake,kwanini baadae unageuka?
 
Hana uwezo huo wa kuturoga hapo kwenyewe atamkumbuka huyo mteja yaani kiwanja kitatengenezwa hakitoonekana Kwa macho ya nyama milele
Umdhanie ndiye kumbe siye. Kama unawaza kumroga jiulize na mpaka anakipata alipitia wapi na mpaka leo anapitia wapi. Acha kumroga mtu au mali yake tafuta hela mkuu. Mali sio yako hiyo
 
Mkuu. Tukisimama upande wa mwenye mali nadhani sote tutakataa kuuza.
Pili. Bei inaweza badilika sokoni muda wowote hivo nayeye muuzaji ana haki ya kusema bei hii kwa hapa hapana.
Tatu. Dalali alishindwa nini kumueleza muuzaji mapema kabla hajaenda na mteja ili kama atakataa waweze kuwekeana dau jipya..? Faida kwa wote
Mteja tumepata Jana Kwa ghafla Leo ndio ilikua mauz Sasa tumeingia ndani kwake mteja tumemuacha nje Kwa ajili ya maongezi na yeye ghafla akawa kama kichaa sifanyi biashara
 
Nakubaliana na wewe kwa maelezo yako,ila kama kuna tofauti ya milioni 10 sioni kama kuna shida,kwakuwa kama ungeweza kumpata mteja mwenyewe si ungefanya hivyo?

Kitendo cha kumtafuta dalali ni wazi unatambua mchango wake na kazi yake,kwanini baadae unageuka?
Nageuka kwa sababu bei imepanda hivo mali inadhamani na nauza bei ya juu au nagairisha mpaka mwakani tena 😁😁😁
 
T
Unang'ang'ania eneo la watu na kilazmisha mtu auze kisa una 21m hata kama ni mm siuzi aisee eneo hukununua ww alaf hauna ela alaf unataka ela kubwa kulko mwenye eneo Tena mara 2 na nusu ya ela atakayopata mwenye eneo ? Ww hata eneo la robo futi huna alaf unataka ela za wanaume !! Tafuta lako ndo uuze Kwa milion 39 alaf uchukue zote!!
Tena ukute jamaa kaamua kuuz Kwa sababu ana Shida na ndio maana alitaja m18 ambayo pengine pia haitoshelez kutatua Shida yake
 
Umdhanie ndiye kumbe siye. Kama unawaza kumroga jiulize na mpaka anakipata alipitia wapi na mpaka leo anapitia wapi. Acha kumroga mtu au mali yake tafuta hela mkuu. Mali sio yako hiyo
Hela sijapoteza nitatafutaje kitu ambacho sijakipoteza hivi unaakili timamu kweli
 
Mbona uzi ulionekana wa leo ghafla umekuwa wa 2022 na post ya kwanza haieleweki, au mod wamefanya yao maana kuna wakati huwa wanaunganisha nyuzi kama vile wapo vyombo.
 
Kuna mtu kauziwa kiwanja 6M dalali kala 3M yaani
Aisee
Halafu halipi kodi hata penny
Kweli sidhani kama ntanunua kupitia dalali hata awe padri au ustadh
Ukisikia mtu katengeneza 3m kwa saa moja ndio huu sasa
Halafu mtu atabisha aseme kwa biashara gani? Kumbe mdomo tu
 
Back
Top Bottom