BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Madalali ni wachawi sana mkuu. Sema wanajua kuipamba kazi yao.Aisee
Halafu halipi kodi hata penny
Kweli sidhani kama ntanunua kupitia dalali hata awe padri au ustadh
Ukisikia mtu katengeneza 3m kwa saa moja ndio huu sasa
Halafu mtu atabisha aseme kwa biashara gani? Kumbe mdomo tu