Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Sasa mkuu we nani kakwambia amekua msukule,,huyo aliekwambia ndo mshikilie sasa
 
Huko mkoani Lindi kuna Bwana mmoja ame-specialize kwenye hiyo habari ya kurudisha misukule..

Mganga mwenyewe ni wale ambao wanaua kabisa, mfano jina lako likienda kushitakiwa kilingeni kwake kama leo , basi kesho unazikwa
Sitak auwawe mtu n arudshw tuh na muhusika apate cha moto
 
NAMNA YA KUMCONTROL MTU
1735903080496.jpg

Chukua udongo wa kaburini,na kipande cha samaki chewa aliyekaushwa kisha funga pamoja na karatasi ngumu iliyoandikwa jina la mtu unayetaka umcontrol ,ufunge na uzi mweupe kisha choma

Njia ya pili shona kakimfuko kadogo weka udongo wa kaburini weka na kipande cha samaki chewa choma na sarafu ya silver

Utakuwa unachoma mara KWA mara
 
NAMNA YA KUMCONTROL MTU
View attachment 3191421
Chukua udongo wa kaburini,na kipande cha samaki chewa aliyekaushwa kisha funga pamoja na karatasi ngumu iliyoandikwa jina la mtu unayetaka umcontrol ,ufunge na uzi mweupe kisha choma

Njia ya pili shona kakimfuko kadogo weka udongo wa kaburini weka na kipande cha samaki chewa choma na sarafu ya silver

Utakuwa unachoma mara KWA mara

Dawa ya biashara kuvuta wateja ni ipi??
 
uko sahihi dunia imejaa watu wenyedharau na maudhi unamweleza mtu kwaupole tu afu bado anakuona pimbi fanya kweli ulejeshe heshima yako
 
Kama ndugu yako huwa anawanga na hupendi jambo hilo basi mvizie usiku wa manane wakati amelala mpake pilipili na chumvi ya mawe iliyosagwa

TAHADHARI: Fanya ukiwa unajua ameshaenda kuwanga na pale kuna mwili tu
1736402963398.jpg
 
Back
Top Bottom