Natafuta mke tutakaye-adopt watoto pamoja naye

CHUKUA HUU USHAURI.
1/Tatizo la mwanaume kuwa na Low Sperm count ni suala la mpito sio jambo la kudumu, ni kitu kinachotibika kitaalamu kwa 100%. Fanya uchunguzi upya katika kituo kingine cha Afya, pia tafuta tiba. Tiba ipo.

2/Kama wewe haujaoa au kama umeoa lakini hukutani na mkeo at least wastani wa mara tatu kwa wiki mfululizo kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, huwezi kusema wewe ni Mgumba. Kikubwa uume unasimama na unaweza kumwaga manii za kutosha, basi uwezo wa kumpa msichana mimba upo kwa zaidi ya 80%.

3/Tatizo la Low sperm count ni dogo sana linapokuja suala la kumpa mtu mimba, kwa sababu mara nyingi ni tatizo la mpito na linatibika kwa 100%.

4/Kama kweli imethibitika au itathibitika kwa namna zote kitaalamu kuwa wewe hauna uwezo wa kumpa msichana mimba, basi fikiria kuoa msichana mwenye mtoto tayari kuliko kutaka kuoa msichana Tasa ili kuja kufanya adoption. Kwa sababu zifuatazo...

¡/Suluhisho la ndoa yenu kuwa na mtoto litakuwa limepata suluhu tayari. Maana tayari mtoto yupo.

¡/Upendo wa dhati kwa huyo mtoto utakuwepo kwa sababu amezaliwa na mkeo.

¡¡¡/Wapo wasichana wengi sana waliozalishwa watoto na kukimbiwa na wavulana, hivyo wanalea watoto wasiokuwa na baba wanaofahamika, wasichana hao hitaji lao kubwa ni kutaka tu kuolewa na kufurahia maisha ya ndoa na wala sio kuzaa tena. Hivyo ukimpata huyo utakuwa umepata dhahabu.

¡v/Kumpata msichana ambaye hajaolewa kabisa
na asiyeweza kuzaa kabisa, akiwa na umri chini ya miaka 35 huku akijua kabisa hana uwezo wa kuzaa na akaikubali hiyo hali ni jambo gumu sana. Narudia tena, ni jambo gumu sana. Kwanini? Hawezi kujijua, hawezi kujikubali, haachi kujaribu tena na tena kulala na wanaume tofauti tofauti ili kutafuta mimba nk. Ukioa huyo mwanamke cha moto utakipata tu. Utaumizwa sana.

vi/Suala la kuasili mtoto(Adoption) lina michakato yake kisheria na changamoto zake huko mbele ya safari. Hivyo linaweza pia kukuzingua hapo mwanzoni au huko siku za usoni. Ni last option kwa wale wanandoa walioshindwa kabisa kuzaa. Sio kitu cha blah blah. Ushauri nasaha huwa unatumika sana kabla ya kuamua hilo.

v/Huenda huko mbele ya safari mambo yako yakakaa vizuri na ukaweza kumpa mimba pia. Mambo yote yanawezekana tu, kikubwa hujakata tamaa.
 
Mzee umeandika kama nlivyotaka kuandika
akafanye further sperm analysis
Pia assistive reproduction zinapatika ila sio hospital government. kuna ile dar IVF center and Aga Khan ila watu wengi wanaenda SA na India kwa ajili hiyo
Thanks for the additional information, ni yeye tu kulifuatilia zaidi hili swala. Asikate matumaini mapema
 
Mzee umeandika kama nlivyotaka kuandika
akafanye further sperm analysis
Pia assistive reproduction zinapatika ila sio hospital government. kuna ile dar IVF center and Aga Khan ila watu wengi wanaenda SA na India kwa ajili hiyo

Nawashukuruni sana nyote mnaotoa maoni yenu. Nataka mjue kuwa nimesoma na nitaendelea kusoma maoni ya kila mmoja wenu kwa umakini mkubwa sana. Hakuna hata wazo moja ninalolipuuzia.

Nimefarijika sana kuona kuwa kumbe JF ni mahali pa kutiana moyo tofauti na ambavyo watu wengine wanavyofikiria. Mkae mkijua ninajipanga kufanyia kazi ushauri mlionipa na ule mtakaoendelea kunipa.

Mungu awabariki.
 
Kuna mambo mengine sometimes we yasikie tu kwa watu,inaumiza sana hii hali.bro,mie cha kukushauri sina ila nakuombea tu kwa Mungu muumba akupatie hitaji la moyo wako.usikate tamaa ndugu yangu haupo peke yako ni wengi wana matatizo.
 
Habari za leo wana JF.

Mimi ni kijana wa kiume rijali kabisa mwenye umri wa miaka 36. Nina elimu nzuri, mcha Mungu, nimeajiriwa, na nina ndoto za maisha vile vile. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimethibitishiwa na madaktari kuwa nina low sperm count kiasi ambacho siwezi kumpa mwanamke mimba.

Kwa hali hiyo basi nimebakiwa na option moja ya kuasili watoto yatima. Lakini siwezi kufanya jambo hilo peke yangu. Lazima niwe na mke. Nami sikutaka kuoa mke ambaye hata kubalina na matakwa hayo.

Nimeamua kuwa sasa ni wakati mwafaka wa kutangaza nia yangu hii kwa mwanamke ambaye pengine kwa sababu moja au nyingine naye yuko katika hali ngumu kama yangu kwamba naye hawezi kubeba mimba.

Kwa aliyetayari tafadhali niPM.

Sihitaji message zozote za maudhi ambazo hazinisaidii chochote. hujafa hujaumbika. hebu usiniongezee machungu bure wakati tayari nina machungu ya kutosha. kama haikuhusu pita kimya kimya na endelea na maisha yako. Najua kuna watu katika jukwaa hili lazima wacomment kila kitu tena kwa lugha za matusi, kejeli na kukatisha tamaa. kumbuka, kile upandacho utavuna hicho hicho. Tafadhali nyamaza.

Aliyeserious tu aje PM

Mungu atakujalia
 
R
 
I feel what you are going through man! Nadhani unaweza kumpata mke mkaelewana ndani ya nyumba yenu akawa na ndugu yako mtakaye mchagua kisiri Ila pia huyo ndugu asijue tatizo lako lakini amtie mimba mkeo.

Mtoto yeyote aliyezaliwa ndani ya ndoa ni mtoto halali wa familia.

Kabla ya kufikiria kuasili watoto hii njia imetumika kulinda heshima ya familia kwenye Jamii yetu ya wa Africa.

Pole sana mzee
 
Naheshimu sana mawazo yako Ndugu yangu. Lakini naomba nieleze wazi kuwa NAKATAA KWA NGUVU ZANGU ZOTE (100%) AINA HII YA USHAURI.

Msingi wa kukataa kwangu unajengwa juu ya imani ya kiroho niliyonayo. Kuruhusu au kuridhia mke wangu alale na mwanamume mwingine tena ndugu yangu ni LAANA ISIYOFUTIKA kizazi hata kizazi. Elewa kuwa nikiwa mwafrika halisi naijua sana njia hiyo lakini nimeikataa. Naomba niseme pia naijua ile njia ya IVF ambapo unanunua mbegu za kiume za mwanaume mwingine. Nayo nimeikataa 100%

Kwangu mimi, mustakabali wangu mbele za Mungu unakuja kwanza kabla ya maslahi yangu binafsi ya kulinda jina langu, au ukoo. Wala fahari zangu binafsi hazina maana kabisa kama maana yake eti ni kulinda the so-called jina la ukoo wakati najidhalilisha mimi mwenyewe na mke wangu na huyo ndugu yangu. Never! Only over my dead body will even even be possible!

Katika njia hiyo, ku-adopt watoto ni njia nyoofu zaidi isiyo na makando-kando mbele za Mungu wala kunidhalilisha au kumdhalilisha mke wangu. Ni bora nisiwe na jina chini ya jua lakini nitunze watoto ambao hata kama hawatakuwa na jina langu lakini nitakuwa na jina mbinguni.

Na vile vile, Mungu akinijalia watoto wangu mwenyewe nitaendelea kuwalea hao yatima kama wa kwangu 100%. Nadhani tatizo hapa ni unyanyapaa tulionao juu ya watoto yatima (stigmatization).

Naomba niseme, mimi nimeishinda vita hiyo katika akili yangu na sina hata chembe ya wasi wasi ninaweza kuwalea watoto yatima na tena wakaja kuwa watu wa muhimu sana kwa ufalme wa Mungu na nchi ya Tanzania. Ninachohitaji ni kumpata mwanamke ambaye na yeye ana mawazo sawa na ya kwangu.

BUT GOD FORBID, siwezi kukubali njia ulishauri hapo juu hata kidogo!!!

As My God Lives I shall Sing of His Love Forever !!!
 
May the Almighty Lord God guide your way all through the tidy road. Mifupa mikavu na tuitabirie ipate uhai kwa utukufu wa Muumba wa Mbingu na ardhi
 
Nawashukuruni sana nyote mnaotoa maoni yenu. Nataka mjue kuwa nimesoma na nitaendelea kusoma maoni ya kila mmoja wenu kwa umakini mkubwa sana. Hakuna hata wazo moja ninalolipuuzia.

Nimefarijika sana kuona kuwa kumbe JF ni mahali pa kutiana moyo tofauti na ambavyo watu wengine wanavyofikiria. Mkae mkijua ninajipanga kufanyia kazi ushauri mlionipa na ule mtakaoendelea kunipa.

Mungu awabariki.
Pole sana kaka kama hutakwazika nafikiri wazo la Zanzibar-Asp ni zuri kwa sababu wengi wamesema tatizo lako linatibika sasa kwa ushauri wa huyo jamaa nafikiri ni zuri.
 
Habari za leo wana JF.

Mimi ni kijana wa kiume rijali kabisa mwenye umri wa miaka 36. Nina elimu nzuri, mcha Mungu, nimeajiriwa, na nina ndoto za maisha vile vile. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimethibitishiwa na madaktari kuwa nina low sperm count kiasi ambacho siwezi kumpa mwanamke mimba.

Kwa hali hiyo basi nimebakiwa na option moja ya kuasili watoto yatima. Lakini siwezi kufanya jambo hilo peke yangu. Lazima niwe na mke. Nami sikutaka kuoa mke ambaye hata kubalina na matakwa hayo.

Nimeamua kuwa sasa ni wakati mwafaka wa kutangaza nia yangu hii kwa mwanamke ambaye pengine kwa sababu moja au nyingine naye yuko katika hali ngumu kama yangu kwamba naye hawezi kubeba mimba.

Kwa aliyetayari tafadhali niPM.

Sihitaji message zozote za maudhi ambazo hazinisaidii chochote. hujafa hujaumbika. hebu usiniongezee machungu bure wakati tayari nina machungu ya kutosha. kama haikuhusu pita kimya kimya na endelea na maisha yako. Najua kuna watu katika jukwaa hili lazima wacomment kila kitu tena kwa lugha za matusi, kejeli na kukatisha tamaa. kumbuka, kile upandacho utavuna hicho hicho. Tafadhali nyamaza.

Aliyeserious tu aje PM

May God grant you His grace.
 
Pole sana bro naamin Mwenyezi Mungu mfalme wa kila kitu duniani atakusaidia..... Na utapona kabisa tatizo hilo,,, kwan hakuna kinachoshindikana Mbele ya Baba yetu wa Mbinguni....
 
The best option ambalo litakulindia heshima yako ni Wewe kuruhusu either Mzazi wako wa kiume au ndugu yako kulala na mke utakae muoa, Ni gumu sana hili ila litakueka Huru na maneno maneno, Wazungu ku adopt mtoto kwao ni possible kwa vile family zao nyingi Nuclear baba mama na watoto sasa sie Africans ni extended tuna mlolongo wa ndugu watakunyima tu raha mkuu, Wachana na Mambo ya pepo au sijui Mungu, Kama kweli anakupenda Mungu Kwanini asikujalie capability ya kubebesha Mimba, BTW mkuu luse ameeleza professional kuwa tatizo lako linatibika i mean liko ndani ya uwezo don't give to early mkuu hakuna msaada wowote kutokea mawinguni huko utakaokuja kukunasua ni Wewe mwenyewe Kuamka na kuamua kutatua changamoto inayokusibu, Uniwie radhi kama ntakuwa nimeongea baadhi ya kukukera
 
Back
Top Bottom