Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Status
Not open for further replies.
Yeah mke wangu hakuwa sawa ilipita mda mpaka akae sawa. Hiki kipindi alikuwa analia tu mwenyewe ilibidi nimepe moyo sana

Kuna siku alinifanyia vituko mwishowe nikawa nacheka tu. Ananibembeleza nimtie mimba nyingine wakati doctor alishahuri at least ipite six months kabla hajashika mimba. Kwa kweli baada ya miezi sita tu akashika mimba tukapata mtoto mwingine wa kike😊

Mungu atawabariki mtapata watoto wengi sana hichi ni kipindi cha mpito tu. .
 
Mashallah
We ungenifaa kweli kuwa Mathna wangu,
lakini mfukoni hakupo vizuri, naamini
usingejuta maisha yako yote.
 
Ni kweli, ila ni hadi miezi sita.. kwa ushauri wa wataalamu wa afyaa.. ni kweli kama binadamu mapito kawaida kabisa
 
God be with you! Ila sio lazima kila mwanamke aolewe na kila mwanaume aoe.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Na mm natafuta mke, njoo pm tuyajenge
 
Hapo kwenye age umekosea! Wapo walio na miaka hamsini na kuendelea kuwa na mtoto sio issues! Jipange utafanikiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…