Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Baba wa mtoto yuko wapi? Kama alikufa kuna mwislamu mwenzako naye alipost juzi kutafuta mke wa pili mwislamuNatafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari
Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Leo kwa mara ya kwanza umejibu kiungwana.aisee
pole sana dear
subiri waje
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Leo kwa mara ya kwanza umejibu kiungwana.
Amina mkuu, wote tuendelee kuishi, ili tuweze burudika kwa pamoja ππIshi sana mkuu, tuendelee kuburudika
ππππye haoi saiziNamuheshimu sana ndugu yangu Half american , namuachia goma ilo π
Hawaishi mkuu ndio Kwanza tupo na wa 2000's nangojea wa 2010'sWataisha mkuu
Ntakulipa kazi nzuri big chawa wangu πππππye haoi saizi
Walio serious wanaenda inbox moja kwa moja!wacha nijipatie mke bro....
Hapana walio sirius tuko kwenye comments wale wa pm ni wanafiki tuWalio serious wanaenda inbox moja kwa moja!
Namba ni ileile boss huna baya ukinuna jua haliwakiNtakulipa kazi nzuri big chawa wangu π
Linawakaje na boss kanuna πNamba ni ileile boss huna baya ukinuna jua haliwaki
Tajiri kama tajiriLinawakaje na boss kanuna π
Upo pekeyako au maana kazi yako n kubwa πTajiri kama tajiri
Ataoa kwa lazima π