Natafuta Mme !

Baby dont worry, Naona watu wanakukatisha tamaa, usijali , nitumie CV yako mi niko Tayari ikiwezekana na Picha, halafu fafanua kuhusu mwanaume mzuri , una maana gani (you mean it matters on Height, Colour/complexion, weight and eyes- give specifications), pia fafanua ni masters gani unazotaka na je lazima uwe na ajira, kwa kuwa mtu unaweza kuwa na PHD au Masters lakini ni jobless, Pia unamsimamo gani kuhusu Dini, pombe na sigara? please respond as soon as you can!,ma email is msambatavango@hotmail.com, nimejaribu kutuma ujumbe ktk email yako lakini imegoma kwenda.
 
that is what i beliave!and what makes you scared!
as you know mme mwema anatoka kwa BWANA MUNGU!

Sasa kama Mume bora anatoka kwa BWANA MUNGU wewe unakuja JF kumtafuta? Subiri huko huko bwana Mungu akuletee...! Weee hauko serious kabisa...! Kuna masters za kununua skuizi....!

Nenda pale chuo kikuu Mlimani na Mzumbe utawapata wanaume wengi tu wenye masters...! Kuna mpaka wenye masters na PhD za kila aina...! Ukikosa hapo nenda pale Ofisi za Higher Education Acreditaion Council pia hapo utapata wanaume wengi tu hadi maprofesa...!

Lakini kwa namna hii, wewe hautafuti mume, wewe unatafuta mwanataaluma...!


Swali langu ni kwamba utazibitisha vipi mtu anamasters? Ni kigezo gani ukiwa kama wewe utakitumia kupima masters ya huyo mume unaemtafuta?
 
Ninakupa hongera kwa ujasiri wako wa kutoa unachokitaka. Kwa hali ya sasa hivi kutafuta mchumba ni kwa wote mwanaume na mwanamke. Si mwanamke akae tu asubiri psipsi na maneneo ya nakupenda wewe pia una uhuru wako.

Wanawake na nyie tafuteni wanaume. Hiyo ni haki ya msingi ya maisha.
 
A mench can nisht vachzen ve a tsibile mit zein kop in de derd. That means; you cant grow like an onion if you keep your head in the ground. You know sometimes I think that life is nothing but a popularity contest and everybody wants to be a winner. i know that men look with their ayes, but women look with their eyes, and their ears, and their heart. the masters thing you are asking for is like asking to be in the moon while sleeping. who the hell told you that love is what you possess? let me tell you my sweetie, my father once told me; never marry for money. just go where money is and fall in love. you need first to fall in love than desire masters degrees. you are no defferent than any other girl. all you want is a new man to love and understand you. is that too much to ask of a millionaire? but then a woman doesnt live with her eyes. she lives with hope. my baby, be careful.
 

Ni kweli kama unavyosema, bora umwambie aelewe
 

Hapo sasa unazidi kumpumbaza mwenzako. Let me tell you one thing, love is what makes you love everybody else because one person loves you, regardless of what you are or who you are. You never really know a man until you go to bed with him. his credentials might be fakes. a man's nature and character are always completely revealed when he made love. that if he were selfish or insensitive or brutal he couldnt conceal it in bed whatever he might to with his clothes on. how then unaulizia mlio badala ya punda? hivi hujui kwamba umaarufu ni ufu!!?

___________________________
The important thing in the world is to love somebody and have him/her love you!
 
Last edited:

baba watatu umemwambia ukweli. unajua bado najifikiria huyu binti atakuwa ni wa aina gani. kwanza yaonyesha jinsi alivyo mtata. inawezekana kabisa ndiyo maana hata leo hajapata mchumba, kwa sababu ya ubaguzi wa hali. naamini hata huyo mwenye masters utakayempata ipo siku utamwambia siyo chaguo lako. na si ajabu maneno hayo unaweza kumwambia mbele ya kusanyiko la watu, kwa sababu inaonyesha huna mshipa wa aibu. kumbuka tu my sister, chama chajiuza, kibaya chajitembeza. kwa wasukuma ninaowajua, naamini wangekuwaga wametangaza mang'ombe kitambo, yaelekea una matatizo fulani.
 
dada mtafuta mume..
pole kwa kuji expose this much.Pamoja na kwamba tunapigania haki na usawa.. siyo kwa kila jambo dada.Mambo mengine yanaweza kukuletea dhahama kubwa.
Kumbuka kuwa kila jambo na wakati wake... kama hujapata mume sasa..basi yuko njiani if it were meant to be.Kwani destiny ya kila mwanamke ni kuolewa?..wapo ambao hawajaolewa na maisha yanaenda powa tu.Elekeza nguvu zako kwenye mambo mengine.. k.m kufanya charity work, kuongeza elimu yako, career building n.k.Kuna role models wengi ambao hawajaolewa na wanafanya mambo mazuri kwa jamii na nchi zao.
 
wewe ndo umeona hivyo sawa!
asante kwa ushauri

Chaaaaaaaaaaaa!!!!! We vipi bibie unamtaka matsres au mume? Auuu!! Lakini sio mbaya kwani pia kuna degree nyingi sana, hata za Ufisadi. Jitahidi kuomba utapata.
 

kwanini utoe tangazo la kutafuta mume kama vile unatoa tangazo la kununua nyumba au gari?? utaonekana haupo serious kutaka kuolewa.unanikumbusha jinsi wazee wenu wa huko mwanza wanavyotoa masharti ya kutoa ng"ombe ili uoe binti wa kisukuma.
kweli utatulia nyumbani hata ukimpata huyo mwenye sifa unazotaka?usije ukampatia masharti mengine tena huyo mwenye masters? kama vile kukuridhisha vizuri kitandani,kukupatia pocket money nono ya kila siku,kukununulia gari !! n.k.
nakushauri usitoe tangazo hapa la kumtafuta mwanaume utaoneka muhuni au malaya wa kujiuza kwa wanaume hata heshima yako itapungua au kwisha ,bora umtafute kimya kimya huko mitaani .
hayo ni maoni yangu.
 

kwanini utoe tangazo la kutafuta mume kama vile unatoa tangazo la kununua nyumba au gari?? utaonekana haupo serious kutaka kuolewa.unanikumbusha jinsi wazee wenu wa huko mwanza wanavyotoa masharti ya kutoa ng"ombe ili uoe binti wa kisukuma.
kweli utatulia nyumbani hata ukimpata huyo mwenye sifa unazotaka?usije ukampatia masharti mengine tena huyo mwenye masters? kama vile kukuridhisha vizuri kitandani,kukupatia pocket money nono ya kila siku,kukununulia gari !! n.k.
nakushauri usitoe tangazo hapa la kumtafuta mwanaume utaoneka muhuni au malaya wa kujiuza kwa wanaume hata heshima yako itapungua au kwisha ,bora umtafute kimya kimya huko mitaani .
hayo ni maoni yangu.
 
Dada NG'WALU, naomba kuuliza je ulishawahi kumjua mwanamume au ndyo nitakuwa wa kwanza nikifanikiwa? mi ninasifa unazotaka na sijawahi kumjua mwanamke, sema basi pls, I am itching 4 that opportunity!
 
well,well,well,well, this is one hell of a woman,first and foremost i admire your courage,for this i salute you,secondly you would have done me a great favour kwa kunipa kiwango chako cha elimu ili nijue nitumie nitumie wavelenth gani kucommunicate na wewe,thirdly dunia tunayoishi sasa hivi,extended family dont come into the equation,on your side kuko vipi? fourth, are you ready to relocate,last but not least,i am a non believer,years in russia,changed my perception of the almighty,hope you is comfortable with that.Trust me i can feel the vibes/chemistry allready.
P.S - me can be in tanzania at a moments notice
 
Dada NG'WALU, naomba kuuliza je ulishawahi kumjua mwanamume au ndyo nitakuwa wa kwanza nikifanikiwa? mi ninasifa unazotaka na sijawahi kumjua mwanamke, sema basi pls, I am itching 4 that opportunity!

Hapo lazima kunakupigana changa la macho......
 
Wakuu!

Inawazekana huyo binti yupo serious au la ila hajaelezea vizuri hilo tangazo lake la kutafuta mume. kama kweli hiyo ni age yake basi anaona atafika miaka 30 hajaolewa kwahiyo anakuwa desperate.

kuna gazeti la mwananchi kwenye website yao unaweza kutafuta rafiki na wachumba nadhani ingekuwa sehemu nzuri kwa huyo dada kujitahidi kutafuta pia.

Mwisho, ni kitu cha ajabu unapotafuta mume kwa kigezo cha elimu kuwa cha kwanza kabisa kabla ya kuelezea awe na sifa muhimu kwenye ndoa kama upendo,heshima,aminifu,kujali na hata kuwa msikivu n.k. Yes, education matters lakini your marriage na elimu ni vitu viwili tofauti.

Mtu awaweza akawa na akili ya darasani(elimu) ila ya maisha na kuishi na watu akawa hana kabisaa.

Kama unatania wewe dada,usirudie maana watu wamechukua muda wao kukuelezea mambo muhimu na wengine kujitokeza kujaribu bahati yao.
 
Inawezekana kweli mwenzetu yuko serious,ingawa nashindwa kuelewa kwa nini amefika hapa pa kutafuta mume hadharani.nakushauri uwe makini kama kweli unatafuta mume,wengine hatujui kubembeleza.
 
Huu ulimwengu wa vidume wachache na mabinti wengi hutakiwi kuweka vikwazo viiiiiiingi.
Kuwa simple utampata atakakupenda mkaishi nae sasa hayo mambo ya masters!!!!!!!!!!!!!!!! ungeweza sema graduate tuu anatosha, sijui...............
All the best in your search
 
Huyo anataka kuwapima watu akili zao. Sasa huyo mwanamume katika vigezo vyake naona kimoja tu hajakipa umuhimu naweza kuwa nimeshaathrika na nina hiyo Masters na title kuubwa hapa mjini atanikubali? Tuachane na mambo yanayopoteza muda tujadili hizi safari za mkulu pamoja na hili la EPA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…