Natafuta mpenzi ambae baadae awe mke

Natafuta mpenzi ambae baadae awe mke

Mkuu ushauri wangu kwako usijiite wewe ni mkristo,sema wewe ni mtu mwenye jina la kikristo,usituaibishe .Mkristo anayejitambua anajua anapohitaji mke au mume afanye nini.Wewe utakuwa mkristo jina,usihofu muko wengi wakrito majina.Hukuwahi kusoma biblia yako kwamba "mke mwema anatoka kwa Bwana"?Hapa jf ndiyo kwa Bwana?
Watu wangu wanaangamizwa kwa kusoma maarifa.
When you say you are a christian ,mean it.
Kwahiyo huku jf tupo tulotoka wapi? Huko kwa Bwana ndio wapi nasi twende?
 
Kama katika usomaji wako wote haukuweza kupata mke basi utakuja kumpata ukiwa unaelekea kuzeeka.
Mwanaume kaweka uzi wake wanatokea wanaume wengine ndio wanawashwa na uzi wa mwanaume mwenzao.. JF imekuwa ya ajabu ajabu sana, duniani hii kila mtu ama aamuzi yake na matarajio yake. Wanaume wa miaka hii sijui tuna nini. Ndio maaana tabia za kishoga hazihishi.. Hii mada ningetarajia nione wadada wanapigana vikumbo ma maswali lukuki lakini wanaume ndio wamekoma nayo kupa m challange mwanaume mwenzao [emoji2][emoji2]
 
Mambo ni mengi sana mkuu
 
tall, chaming, loving both friends and parents, employed or have something to do , nard working
 
Kumbe hujapata npm tuyajenge huwez jua ya Mungu mengi
 
Back
Top Bottom