Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Ila kuna hawa watu jamanii

"Utasikia kila la kheri"

"Mungu akupe itaji la moyo wako"

Haya, kwani hzo siku zote hawawaoni mpaka muwaombe kwa niaba yao
 
Aya wale madogo mnaosemaga kigezo cha umri kinawaangusha wadada wakileta nyuzi za wahitaji wa 40+, nanyi leo mmefikiwa.

Anataka wa 28 tu. Hayo ya bikra achaneni nayo. Maana hata ninyi si bikra.
 
nna wasiwasi huyu atakuwa mwanaume kuna watu wakienda pm watagongwa vibaya sana
 
Haya vijana,

Msije kusema oooh, mimi sina bahati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ