Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Ila kuna hawa watu jamanii

"Utasikia kila la kheri"

"Mungu akupe itaji la moyo wako"

Haya, kwani hzo siku zote hawawaoni mpaka muwaombe kwa niaba yao
 
Aya wale madogo mnaosemaga kigezo cha umri kinawaangusha wadada wakileta nyuzi za wahitaji wa 40+, nanyi leo mmefikiwa.

Anataka wa 28 tu. Hayo ya bikra achaneni nayo. Maana hata ninyi si bikra.
 
Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
nna wasiwasi huyu atakuwa mwanaume kuna watu wakienda pm watagongwa vibaya sana
 
Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
Haya vijana,

Msije kusema oooh, mimi sina bahati.
 
Back
Top Bottom