mambo_safi
Senior Member
- Jul 22, 2019
- 176
- 440
House girl unamlipa sh ngapi mkuu?Saa 15 za kazi na malipo ya 3,500!
Hakika umaskini ni mbaya mno!
Hii ni ajira! Kuuza duka kuna mahesabu! Kidato cha nne naona atanifaa zaidiBinti wa kidato Cha nne ! Daadeki , ok sio mbaya naona unatafuta pisi zinazomaliza mtihani wiki hii na ijayo ,,,
Subir tumalize kuwasamia utawachukua tu
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwa kuanza ni laki! Huduma zoote za utu kama afya, malazi, chakula ni juu yangu.House girl unamlipa sh ngapi mkuu?
Mkuu maduka ya mtaani ulitaka alipwe kiasi gani.??Saa 15 za kazi na malipo ya 3,500!
Hakika umaskini ni mbaya mno!
Usihesabu saa 15! Hii ni kazi ya nyumbani! Kwa mtu anayejitambua katika ulimwengu wa sasa utaamka saa 11 kufanya usafi wa makazi yako!Saa 15 za kazi na malipo ya 3,500!
Hakika umaskini ni mbaya mno!
Una mke lakini?Kwa kuanza ni laki! Uduma zoote za utu kama afya, malazi, chakula ni juu yangu
Unaona umasikini kwa kuwa maisha unayamudu! Hiyo ni hela nyingi kwasababu anaweza kuitunza yoote! Nyie acheni wadada wanapitia magumu!Saa 15 za kazi na malipo ya 3,500!
Hakika umaskini ni mbaya mno!
NdioUna mke lakini?
Unadhani watu wote wana ndugu wa kuajiri? Hata kama wapo unadhani wanaajirika? Hata kama wanaajirika wakati mwingine unaleta maneno kwa ndugu na malalamiko kibao ya kujihesabia haki na kutojituma na kuwa mwaminifu! Siwezi kuajiri ndugu.Kwanini hujamchukua mtoto wa ndugu yako akufanyie kazi zako za ndani umlipe?
📌Unadhani watu wote wanandugu wa kuajiri? Hata kama wapo unadhani wanaajirika? Hata kama wanaajilika wakati mwingine unaleta maneno kwa ndugu na malalamiko kibao ya kujihesabia haki na kutojituma na kuwa mwaminifu! Siwezi kuajiri ndugu
Nakuunga mkono 💯 kuajiri ndugu wakati mwingine ni maneno kuwa unamnyanyasa! Lakini mtaa ukimnyanyasa kwa kukosa hata hela ya pedi hawapigi keleleUnadhani watu wote wanandugu wa kuajiri? Hata kama wapo unadhani wanaajirika? Hata kama wanaajilika wakati mwingine unaleta maneno kwa ndugu na malalamiko kibao ya kujihesabia haki na kutojituma na kuwa mwaminifu! Siwezi kuajiri ndugu
mnooNakuunga mkono 💯 kuajiri ndugu wakati mwingine ni maneno kuwa unamnyanyasa! Lakini mtaa ukimnyanyasa kwa kukosa hata hela ya pedi hawapigi kelele
Nakuunga mkono pia🤝Unadhani watu wote wanandugu wa kuajiri? Hata kama wapo unadhani wanaajirika? Hata kama wanaajilika wakati mwingine unaleta maneno kwa ndugu na malalamiko kibao ya kujihesabia haki na kutojituma na kuwa mwaminifu! Siwezi kuajiri ndugu
NashukuruNakuunga mkono [emoji817] kuajiri ndugu wakati mwingine ni maneno kuwa unamnyanyasa! Lakini mtaa ukimnyanyasa kwa kukosa hata hela ya pedi hawapigi kelele