mambo_safi
Senior Member
- Jul 22, 2019
- 176
- 440
- Thread starter
- #21
Hila naona walengwa wengi hawapo hapa jukwaani kwasababu hawana simu janja! Kama unaye au unamuona mtaani niunganishe tafadhali! Halafu nasikia kuna madalali wa wasichana wa kazi za ndani? Nawapataje ili niangalie jinsi ya kunisaidia!