Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

Kwa kipindi hiki ukipata binti asiye na mtoto shukuru Mungu maana 99.9% wana watoto tena ni chini ya miaka 18 sasa ukimpa ajira mawili aje aishi na mwanae kwako labda hiyo kidogo itakuwa salama yako au amuache kwao kila baada ya siku mbili ruhusa ya wiki, mtoto mgonjwa, mama anaumwa na ndiye anakaa na mwanae, baba wa mtoto "kaniita kasema tukayamalize'" na mwisho unamkuta kanuna ukimuuliza jibu "nimemmisi mwanangu" kwa uzoefu wangu nawaza kwa sauti
Unachosema ni sahihi kabisa! Jinsia ya kike inapokuwa haijapigwa tukio la kubebeshwa mimba na kuzaa inakuwaga na swaggar na madharau na kuwa na matumaini makubwa (high expectation) kuliko uhalisia. Akishazalishwa, ndo akili zinawakaa kichwani wakati huo soko la ajira nzuri limeishawatema! Kwakweli nisingependa binti mzazi!
 
Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula.

Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka asubuhi saa 11 na kuweka nyumba katika hali ya usafi, anaenda kuuza dukani mpaka saa 3 usiku! Duka liko hapo nyumbani ila limejitenga na nyumba. Mshahara laki moja! Ukiwa interested njoo PM! Usidanganywe na avatar yangu mimi ni 'me'
Si mnawadharau,fanya kazi mwenyewe kwani huna Watoto?
 
Unachosema ni sahihi kabisa! Jinsia ya kike inapokuwa haijapigwa tukio la kubebeshwa mimba na kuzaa inakuwaga na swaggar na madharau na kuwa na matumaini makubwa (high expectation) kuliko uhalisia. Akishazalishwa, ndo akili zinawakaa kichwani wakati huo soko la ajira nzuri limeishawatema! Kwakweli nisingependa binti mzazi!
Hakuna jinsi
 
Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula.

Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka asubuhi saa 11 na kuweka nyumba katika hali ya usafi, anaenda kuuza dukani mpaka saa 3 usiku! Duka liko hapo nyumbani ila limejitenga na nyumba. Mshahara laki moja! Ukiwa interested njoo PM! Usidanganywe na avatar yangu mimi ni 'me'
Unajichanganya. Aliyehitimu kidato cha nne ni mtoto?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Huyu mdada ulimpata au bado?? Kama bado njoo PM
 
Back
Top Bottom