Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

Kama cha kujenga naomba unitumie na mimi mkuu kama hautajali
 
Nimesoma mpaka chuo kikuu.

Degree : Education
Masters: Public administration

Short courses
Risk Management
Community Engagement
SPSS
Samahani sikukatishi tamaa, lakini inakuaje mwalimu unakosa kazi, mimi binafsi ni mwanafunzi wa chuo lakini natafutwa sana na wanafunzi kuwafundisha masomo yao especially advance na sisomei ualimu, sasa wewe inakuaje unakosa kazi wakati wengine sio walimu na tunafuatwa na watu ili kuwafundisha? anyway popote ulipo huwezi kosa wanafunzi wenye changamoto kwenye masomo uliyosomea pita nyumba kwa nyumba onana na wazazi waelewe uwezo wako then wazazi wachache watatkukatisha tamaa lakini wachache watakuelewa na watakupa nafasi ya kuwatatulia matatizo watoto wao kwenye masomo husika ukipata hata watu watano ukawanyia vizuri basi hiyo chain utakayoletewa hutaamini na ndo utakuwa mwanzo wako wa kupiga hela.

Pia nadhani hujajikubali na kuamua kuanza upya, unategemea kuendelea ulipo ishia na masters yako kiukweli hiyo itakunyanyasa kama suala la ajira limekua gumu basi rahisisha kwa kufanya kile kilicho ndani ya uwezo wako kulingana na resources ulizo nazo(maarifa yako).
 
Hongera kwa kutafutwa mkuu. πŸ‘

Nakuanzia sasa nitajikubali ushauri wako nimeuelewa.
 
Nittumie na mimi
 
Watu wanaitaji kazi za kwenda wanaume tuna vipengele vingi asa tukifikisha 35+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…