jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Njoo Mwanza nikupeleke Geita wakakukande midawa na mizizi ya maana utaona mabadiliko
Nipe hiyo connection
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Mwanza nikupeleke Geita wakakukande midawa na mizizi ya maana utaona mabadiliko
Asante sana 🙏Pole sana mkuu.
Sio kila kitu kinatolewa kwa chumviUmsikii mshana,usomi biblia?
Oga maji ya chumvi,jitie baharini ondoa gundu,
Mtaalam ni wewe mwenyewe.
Kuwa nadhifu kwa kila kitu
Utabeba mapepo yote, mwamini Mungu.
Unafanyaje hii?TUMIA MCHANGANYIKO W MAFUTA YA MZEITUNI NA NAZI UONDOE MIKOSI WAGANGA WATAKUTAPELI TU NDUGU
YA KUPAKA KAMA MAFUTA TU NA KUNUIZAUnafanyaje hii?
Haya mambo yapo mkuuu usiombe yakukute... mkuu.. niliomba ajira kwa miaka 5 bila mafanikio kuna wakati unapiga intavyuu unahisi umetoboa kabisa ila wapiii, lakini nilikuja kufanikiwa ndani ya mwezi mmoja tuuu... nilishaomb ajira mpaka nika kata tamaa nikaamua kufanya shughuli nyingine kitaa.Bila shaka wewe hutukanwi bali unaambiwa ukweli na wewe unaona ni matusi! Hakuna mganga wa kuweza kukusaidia kwenye hili. Wangekuwepo waganga wa aina hii mitaani kusingekuwa na jobles. Huyo ''mtaalam'' mwenyewe unayedhani yupo, chunguza vizuri, utakuta na yeye alikosa ajira akaamua kujiajiri kwa kuwa ''mtaalam''.
Hili siwezi kuamini hata siku moja. Hakuna uhusiano wa wewe kupata kazi na mganga. Uliamini hivyo lakini siyo yeye alisababisha upate kazi.Haya mambo yapo mkuuu usiombe yakukute... mkuu.. niliomba ajira kwa miaka 5 bila mafanikio kuna wakati unapiga intavyuu unahisi umetoboa kabisa ila wapiii, lakini nilikuja kufanikiwa ndani ya mwezi mmoja tuuu... nilishaomb ajira mpaka nika kata tamaa nikaamua kufanya shughuli nyingine kitaa.
Ila nilienda kwa mganga kujitibu matatizo ya kiafya kufika huko nikaambiwa walisha nichezea mpaka kwenye masuala ya ajira siwezi kupata kazi.. huwezi amini baada ya kupata tiba mwezi mmoja mbele nikaitwa kazini.
Sawa nimekusoma.YA KUPAKA KAMA MAFUTA TU NA KUNUIZA
Boss wakati unaendelea kupambania kombe kivingine upande huo unaweza kunitumia pia kopi ya Cv yako niiongezee thamani ...wadau wakikutana nayo waisome kwa lazimaaKama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena.
Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa.
Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo wao nikakata tamaa ila nimeamua nirudi tena sina options.
Najua kuna watu wamevuka stage ya utoto wanayaelewa vizuri maisha na watanielewa kinachonisumbua
Natafuta mtaalam wa jadi mzuri ataeweza nisaidia kupata kazi na kuniondolea gundu.
Maana kwa sasa kila nachojaribu kufanya kinaishia kuharibika naomba kazi miaka 3+ natoswa siku hizi sipati hata simu ya interview nna mwaka sasa.
Ningefurahi zaidi angekuwa Dar maana pia nauli ya kwenda mbali na DSM ni changamoto kwangu ila kama anakuwa mbali sio mbaya nitapambana nimfate.
Nasubiri msaada PM.
Mtaonitukana nimewasamehe in advance.
Vyote si vyuo mkuuHaiwezekan umemaliza zako TEKU then unaomba kazi ukawe lecturer UDSM.
UDSM effect, hawa watu wakianzaga kuongea hupoteza maana halisi ya usomi na elimu kisa mapenzi ya chuo flan. Do your homework kabla hujaandika neno "haiwezekani", hususani ukiwa nje ya taaluma husika. Better ask than condemn.Haiwezekan umemaliza zako TEKU then unaomba kazi ukawe lecturer UDSM.
Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena.
Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa.
Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo wao nikakata tamaa ila nimeamua nirudi tena sina options.
Najua kuna watu wamevuka stage ya utoto wanayaelewa vizuri maisha na watanielewa kinachonisumbua
Natafuta mtaalam wa jadi mzuri ataeweza nisaidia kupata kazi na kuniondolea gundu.
Maana kwa sasa kila nachojaribu kufanya kinaishia kuharibika naomba kazi miaka 3+ natoswa siku hizi sipati hata simu ya interview nna mwaka sasa.
Ningefurahi zaidi angekuwa Dar maana pia nauli ya kwenda mbali na DSM ni changamoto kwangu ila kama anakuwa mbali sio mbaya nitapambana nimfate.
Nasubiri msaada PM.
Mtaonitukana nimewasamehe in advance.
Mtaonitukana nimewasamehe in advance.[emoji419][emoji375]Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena.