Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Kama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu
Majukumu yake ni kama yafuatayo
  • Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine
  • Kushauri beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) kwenye changamoto zao wanazokutana nazo
  • Kushirikiana na beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) katika miradi yao
  • Kufanya research juu ya jumbe tunazopata kwenye kuombea watu
ELIMU
Bachelor degree na kuendelea ya course yeyote ile

NOTE: uwe unaishi Dar es Salaam na uwe huna kazi na uwe tayari kuomba kwa mda mrefu sana.
Usije dm tafadhali kwa aliyekua tayari anione kwenye email ifuatayo
bibletossup@gmail
 
Mkuu, kwa nini umeweka kiwango cha elimu ilhali maombi hayahitaji hivyo vitu? Msingi wq swali ni kuwa waombaji wapo ila wengine hawana hiyo elimu iliyowekwa
 
Mkuu, maombi hayo hayafanyi kazi.

Mambo ya Yesu ni illusion tu.

Hupaswi kupoteza muda wako katika mambo hayo.

Ni kheri ukafanye kazi kwa bidii tu ukawasaidua kifedha watu unaotaka kuwasaidia.

Ila nakupongeza kwasababu uko katika nafasi ya juu katika viwango vya utu na ubinadamu.
 
Kwangu yanafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…