Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

MUNGU anachagua kusikiliza maombi ya mwenye Elimu na asiye na Elimu? Sijaona mantiki ya kigezo Cha elimu
 
MUNGU anachagua kusikiliza maombi ya mwenye Elimu na asiye na Elimu? Sijaona mantiki ya kigezo Cha elimu
Aliyeweka post ana lake lengo maana tayari ameshaonesha kuwa mungu wake anabagua
 
Mkuu, maombi hayo hayafanyi kazi.

Mambo ya Yesu ni illusion tu.

Hupaswi kupoteza muda wako katika mambo hayo.

Ni kheri ukafanye kazi kwa bidii tu ukawasaidua kifedha watu unaotaka kuwasaidia.

Ila nakupongeza kwasababu uko katika nafasi ya juu katika viwango vya utu na ubinadamu.
Maombi yana nguvu,hata corona ilikimbizwa na maombi
 
Maombi yana nguvu,hata corona ilikimbizwa na maombi
Kwa namna alivyoanza nina uhakika wanaoombewa wanaenda kupigwa hela kwa jina la sadaka.

Mungu hana ubaguzi. Unaposema maombi haya level yake ni wenye masters tayari umeshamsujudia shetty akupe miujiza
 
Onyesha hio mizaha kwenye uzi
Kitendo cha kutangaza tu kwa namna ulivyotangaza na kwa namna ulivyoweka na hivyo vigezo vya "Kuomba kwa muda mrefu" n.k ni Mzaha tosha. Unajiweka kwenye nafasi ya kucontrol Huduma za Roho kimwili.

Niishie hapo
 
Kuomba mda mrefu ni mzaha hiki ni kituko cha mwaka
Kusema natafuta watu wa kuomba mda mrefu ni kosa aiseee 😂😂😂😂😂
Kweli shetani yuko kazini
 
Onyesha kosa la uzi kiimani
Kwa kawaida kabisa Mungu hutumia mtu yeyote amtakae katika kufikisha ujumbe wake.

Uzi una sharti la "mwenye degree" Kwa maana ya kwamba hilo sharti ni la mwenye "maono".

Labda kungekuwa na ufafanuzi kamili ungeeleweka hata kama ungesema unakusanya team ya kukosoa wahubiri wasio na degree yeyote ungeeleweka tu.
 
Back
Top Bottom